Hamjui mnachokiongea, hao ni mbwana matumla na francis miyeyusho wote wawili ni mabondia wazuri tu na weshaipeperusha bendera ya Tanzania huko nje kwa kupigana international games, na kufanya vizuri pia. Bondia ipo ya uzito mbalimbali huwezi kumpiganisha david heys na floyd mywether japo wote ni mabondia tena mashuhuri. Kama hujui unachosema ni vyema ukanyamaza, nani kakwambia kuwa bonge ndio afya? Ga dem shit