Duh! Afande Chacha✔

Joined
Aug 12, 2011
Posts
7,150
Reaction score
14,730
Nimefika hapa Kituo cha Polisi na kujikuta nikifarijika sana na kushtuka baada ya kumkuta Afande Chacha hapa Kaunta akiwa anasoma Biblia, nikajisikia fahari sana kuona anasoma Neno katika kituo cha Polisi.

Nikamuuliza “Afande ni nani alimuua Goliathi?” Akasema “Muulize Afande Mwita mlango namba 2 ndio anahusika na Kesi za Mauaji.” ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…