Wananchi waende wakaidhinshe kutotendeka haki?
Hao wananchi wamesahau makandokando ya huyu mwakilishi wa Samia,kuhusu sakata la mwanachuo?
Kimaadili hii ikoje?
Ilipaswa ajiuzulu kipindi kilekile akiwa hospitalini kule Benjamin Mkapa,pale Dodoma, lakini IKAZIMWA.