Dude laweza kwenda na mtu 2025.Lilianza kama masihara hivi likapigiwa kura chap chap,wananchi nao wakalipokea chap chap!... Sasa dude linawasumbua wapiga kura na wale waliotia Saini!.
Kila likitaka kulazwa halilali,kama ni mboga basi hii imechacha! Inamuumbua mpishi na inamsumbua mlaji ambae kagoma na sio kugoma tu bali kashika na bango!.
Dude hili limeibua mengi hata wale waliokuwa kimya wamenena Tena wanatapika nyongo haswa!.
Kuonyesha kuwa dude hili ni imara limeanza hadi kuzingua misimamo ya kiimani!!..
Majukwaani hawalali,dude hili limewapa baadhi yetu uwezo wa kupiga msamba kama sio sogodati!.
Mbaya mbovu dude limegonga mlango mpaka kwa akina Tanzania intelligence security huduma!.. wakereketwa wanahoji "mlikuwa wapi wakati dude linaingia...?"
Hao jamaa nao hawajibugu kitu kawaida yao huwa ni kukaa kimya ila vitendo ndo vitajibu,wao hawapendi vipaza sauti lkn dude ndio hilo limewatazama wao kwasasa!.
Ilipofikia sio wakumtafuta mchawi ni nani bali ni lazima apatikane komandoo kipensi wakulituliza hili dude!.. waswahili walisema usipoziba ufa utajenga ukuta!!..
Hili dude ni aidha litaenda na watu au mtu au jitu!..
MIPANGO BILA PESA NI KELELE!.
CCM hovyo ya Tanzania.Lilianza kama masihara hivi likapigiwa kura chap chap,wananchi nao wakalipokea chap chap!... Sasa dude linawasumbua wapiga kura na wale waliotia Saini!.
Kila likitaka kulazwa halilali,kama ni mboga basi hii imechacha! Inamuumbua mpishi na inamsumbua mlaji ambae kagoma na sio kugoma tu bali kashika na bango!.
Dude hili limeibua mengi hata wale waliokuwa kimya wamenena Tena wanatapika nyongo haswa!.
Kuonyesha kuwa dude hili ni imara limeanza hadi kuzingua misimamo ya kiimani!!..
Majukwaani hawalali,dude hili limewapa baadhi yetu uwezo wa kupiga msamba kama sio sogodati!.
Mbaya mbovu dude limegonga mlango mpaka kwa akina Tanzania intelligence security huduma!.. wakereketwa wanahoji "mlikuwa wapi wakati dude linaingia...?"
Hao jamaa nao hawajibugu kitu kawaida yao huwa ni kukaa kimya ila vitendo ndo vitajibu,wao hawapendi vipaza sauti lkn dude ndio hilo limewatazama wao kwasasa!.
Ilipofikia sio wakumtafuta mchawi ni nani bali ni lazima apatikane komandoo kipensi wakulituliza hili dude!.. waswahili walisema usipoziba ufa utajenga ukuta!!..
Hili dude ni aidha litaenda na watu au mtu au jitu!..
MIPANGO BILA PESA NI KELELE!.
Bandari inaenda kubadilisha upepo wa kisisasa nchiniLilianza kama masihara hivi likapigiwa kura chap chap,wananchi nao wakalipokea chap chap!... Sasa dude linawasumbua wapiga kura na wale waliotia Saini!.
Kila likitaka kulazwa halilali,kama ni mboga basi hii imechacha! Inamuumbua mpishi na inamsumbua mlaji ambae kagoma na sio kugoma tu bali kashika na bango!.
Dude hili limeibua mengi hata wale waliokuwa kimya wamenena Tena wanatapika nyongo haswa!.
Kuonyesha kuwa dude hili ni imara limeanza hadi kuzingua misimamo ya kiimani!!..
Majukwaani hawalali,dude hili limewapa baadhi yetu uwezo wa kupiga msamba kama sio sogodati!.
Mbaya mbovu dude limegonga mlango mpaka kwa akina Tanzania intelligence security huduma!.. wakereketwa wanahoji "mlikuwa wapi wakati dude linaingia...?"
Hao jamaa nao hawajibugu kitu kawaida yao huwa ni kukaa kimya ila vitendo ndo vitajibu,wao hawapendi vipaza sauti lkn dude ndio hilo limewatazama wao kwasasa!.
Ilipofikia sio wakumtafuta mchawi ni nani bali ni lazima apatikane komandoo kipensi wakulituliza hili dude!.. waswahili walisema usipoziba ufa utajenga ukuta!!..
Hili dude ni aidha litaenda na watu au mtu au jitu!..
MIPANGO BILA PESA NI KELELE!.
Sasa kama mie kichwa changu kina uwezo wa kubeba sisimizi kisha we unanibebesha tembo unategemea nini??Ila sisi watanzania sijui nani katuloga, yani una mkabidhi mtu bandari yako?
Ondoa ''yako'' weka ''zako'',Ila sisi watanzania sijui nani katuloga, yani una mkabidhi mtu bandari yako?
Moshi mkubwa umetanda juu ya anga wazee wa kale tunamuenzi mista Marley🤣🤣🤣Dude laweza kwenda na mtu 2025.
Aahaaaa, hivi hakuna singeli ya wimbo unaozungumzia bandari!?Hili dude bwana... Hili dude bwana.. Hili dude bwanaweee... Linapagawishaaa!!!🤣 🤣 🤣
Hakunaga😀😀😀Aahaaaa,hivi hakuna singeli ya wimbo unaozungumzia bandari!?
AhaaaaaaHakunaga😀😀😀
Sasa tufanyeje simko busy na simba na yanga.Ila sisi watanzania sijui nani katuloga, yani una mkabidhi mtu bandari yako?
Ila Kuna hiiAhaaaaaa
Yeah,umepiga pale pale mkuuIla Kuna hii
🤣🤣🤣Hili dude bwana... Hili dude bwana.. Hili dude bwanaweee... Linapagawishaaa!!!🤣 🤣 🤣