Camp Gilgal
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,453
- 4,594
Nimeangalia comments zenu, nimeona WAAFRIKA hatupendani, na hatuna umoja; Then leo hii ili kujihalalishia kutawala milele Mugabe na wenzake wanataka tuwafukuze wazungu!? Ili tuuwane zaidi au?
Topic hapa ni hiyo "dry port" sasa mambo ya kukumbushana na kubishania Genocide ya 90's ambayo watu wamemove on ina maana gani?! Mwenzio akifanya vizuri mpongeze & ujifunze!!! Ujinga huu.
Topic hapa ni hiyo "dry port" sasa mambo ya kukumbushana na kubishania Genocide ya 90's ambayo watu wamemove on ina maana gani?! Mwenzio akifanya vizuri mpongeze & ujifunze!!! Ujinga huu.