singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,536
Hapo ndipo nilipokuwa namshangaa Maalim Seif alikuwa anawata wahisani wasitoe misaada na kuweka vikwazo wakati yeye analilia posho, Na huyu Msingwa tatizo lake ni bendera fata upepe, hajitambui kwa hili wala lile, kwa utawala huu wa Magufuli atapotea muda si mrefu katika siasa za bongo kama hatabadilika.