Leonardchama7
JF-Expert Member
- Apr 14, 2018
- 2,964
- 4,052
Hapa ni kelele tu za wanavyura,ila muda utaongea
Huyo Mungu wa kusililiza dua wa wacheza kandanda wa afrika ni wa wapi?View attachment 2124744
"Eeh Mwenyezi Mungu Mwingi wa rehema muumba wa mbingu na dunia. Tunakuomba uifanyie wepesi timu ya Simba wawakilishi wa Tz iweze kupata ushindi jioni leo"
"Its you our LORD we worship and its you only we ask for assistance. God we beg you to bless Simba SC"
Ameeeeeeeeen
Mungu Ibariki Simba Sc, Mungu ibariki Tanzania