ward41 JF-Expert Member Joined Apr 3, 2022 Posts 749 Reaction score 2,540 May 27, 2022 #1 Mikwala kibao kumbe yakuwakuta nao hutoa MACHOZI. Tuache ubabe, Dunia ni mapito
Basi Nenda JF-Expert Member Joined Jul 29, 2017 Posts 20,789 Reaction score 47,986 May 27, 2022 #2 Hakuna Binadamu katili,hata Stalin aliumia Sana kifo Cha mkewe kilipotokea na akakiri hapo happy kwamba licha ya kwamba Ana moyo wa jiwe ila yule mwanamke aliuteka moyo wake
Hakuna Binadamu katili,hata Stalin aliumia Sana kifo Cha mkewe kilipotokea na akakiri hapo happy kwamba licha ya kwamba Ana moyo wa jiwe ila yule mwanamke aliuteka moyo wake
K kinje ketile JF-Expert Member Joined Dec 12, 2015 Posts 5,364 Reaction score 10,103 May 27, 2022 #3 Dah... ! Kumbe hayatuhusu.! Mi nikaja mbio kudhania kiduku Wa Mrogoro..! Bw.Twaha..!
Ulweso JF-Expert Member Joined May 24, 2016 Posts 23,106 Reaction score 28,053 May 27, 2022 #4 Pole yake
Championship JF-Expert Member Joined Aug 7, 2019 Posts 5,551 Reaction score 10,798 May 27, 2022 #5 Duniani tunapita
T Teknocrat JF-Expert Member Joined Oct 20, 2018 Posts 7,968 Reaction score 15,788 May 27, 2022 #6 Covid ndio imeiingia huko.... Ndio ni jinsi gani hii nchi ni kaburi lililo na mlango...
Nyamizi Platinum Member Joined Feb 19, 2009 Posts 9,185 Reaction score 13,760 May 27, 2022 #7 Kiduku na ule uzito na kimo chake anaogopa hata kuvaa barakoa asije kushindwa kupumua.
KEMPANJU BOY JF-Expert Member Joined Aug 31, 2014 Posts 508 Reaction score 1,255 May 27, 2022 #8 Naona na yeye analeta Jeuri za kudharau barakoa! Mwambie wapo walodharau mda huu wako wanaongoza malaika kufanya usafi
Naona na yeye analeta Jeuri za kudharau barakoa! Mwambie wapo walodharau mda huu wako wanaongoza malaika kufanya usafi
VERDAD JF-Expert Member Joined Sep 25, 2018 Posts 275 Reaction score 532 May 27, 2022 #9 ward41 said: View attachment 2240080View attachment 2240082View attachment 2240083 Mikwala kibao kumbe yakuwakuta nao hutoa MACHOZI. Tuache ubabe, Dunia ni mapito Click to expand... Ubabe wake upo wapi???All the tym me naona anaact in best interest ya sovereignity ya nchi yake. Ukatili haimaanishi ni guard dhidi ya maumivu ama uchungu. Hana mikwara,so far mengi ya ayasemayo anatekeleza ndio maana amefikia kua na maICBM in eyes of westerns
ward41 said: View attachment 2240080View attachment 2240082View attachment 2240083 Mikwala kibao kumbe yakuwakuta nao hutoa MACHOZI. Tuache ubabe, Dunia ni mapito Click to expand... Ubabe wake upo wapi???All the tym me naona anaact in best interest ya sovereignity ya nchi yake. Ukatili haimaanishi ni guard dhidi ya maumivu ama uchungu. Hana mikwara,so far mengi ya ayasemayo anatekeleza ndio maana amefikia kua na maICBM in eyes of westerns
mkorinto JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 32,066 Reaction score 39,512 May 27, 2022 #10 ulimi waupanga said: Naona na yeye analeta Jeuri za kudharau barakoa! Mwambie wapo walodharau mda huu wako wanaongoza malaika kufanya usafi Click to expand... jenga tabia ya kutawadha baraabara baada ya haja kubwa inaongeza umakini katika maisha.
ulimi waupanga said: Naona na yeye analeta Jeuri za kudharau barakoa! Mwambie wapo walodharau mda huu wako wanaongoza malaika kufanya usafi Click to expand... jenga tabia ya kutawadha baraabara baada ya haja kubwa inaongeza umakini katika maisha.