Du! Hii sa kali

Chomsky

Member
Joined
Jul 15, 2012
Posts
31
Reaction score
5
Mwalimu mmoja wa kike alikuwa darasani na wanafunzi wake na mazungumzo yao yalikuwa kama ifuatavyo:

Mwalimu: We John unacheka nini?
John: Nimeona paja lako mwalimu!
Mwalimu: Huna adabu, toka na usirudi hapa hadi kesho!
Mwalimu: Na we Michael vipi?
Michael: Nimeona chupi yako mwalimu.
Mwalimu: Shenzi, toka na usirudi wiki nzima!
Mwalimu: Na we Fred unakwenda wapi? (Fred hakujibu badala yake aliendelea kusepa nje huku akiwaza kichwani)
Fred: Nikisema nilichokiona nadhani nitafukuzwa shule kabisa!

Je, Fred aliona nini?
 

Blackberry
 
kitambo kidogo inaelekea mgeni wa hili jukwaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…