mansoorsaid
JF-Expert Member
- May 31, 2014
- 1,498
- 286
Nimeona Azam TV kwenye king'amuzi chao imeongezwa chanel ya dtv Tanzania lakini naona imefungwa
Azam ongezeni na Star TV,TV1,Capitol ,mlimani,mkifanya hivyo mtakuwa namba moja tanzania.
Azam ongezeni na Star TV,TV1,Capitol ,mlimani,mkifanya hivyo mtakuwa namba moja tanzania.
Na mpango wa kununua kingamuzi cha AZAM ivi ni vizuri sana kwenye quality ya picture