Salute.wakuu hizi bank za dtb mnatatizo gani upande wa ATM yaani imekuwa kero kila siku ATM utakuta iko "out of service" unaweza kutembelea hata tatu shida ni hiyo hiyo ikifika mwisho wa mwezi ndio sahau kabisa ATM hamna kitu badilikeni bhn tumewachoka....hoply mmesikia.