Ni wezi sana. Nilipa kifurushi cha 85 baada ya siku mbili wakanikatia wakisema eti mwezi uliopita nilitumia kifurushi cha 150,0000. Wakati siku zote nalipia hiyo kwa mpira tu. Hela hawakurudisha nami nikahama. Wanajidai tu kwa kuwa wana weza kuzima saa yoyte. Iko siku nitaazisha yangu. DSTV wanatuibia sana.