ofa waliyotoa wao ni kuonyesha baadhi ya channels zilizopo ktk kifurushi cha premium hata kwa wale waliolipia kifurushi cha access kwa cku 2 tu**weekend offer**. Ila malipo yao yapo palepale elfu 16.5 kwa access,33family,53 compact na laki 135 premium.