DSTV na Vodacom acheni utapeli

DSTV na Vodacom acheni utapeli

specialist88

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2014
Posts
1,140
Reaction score
619
Naandika hapa jukwaani nikiwa na mshangao, maswali na huzuni.

Hivi unaweza ukafikiri au ukadhania kampuni kubwa mbili kama VODACOM Tanzania na Multichoice (DSTV) zinaweza kushindwa kutatua tatizo dogo kabisa ambalo hata mtu mjinga asiye na uelewa analitatua ndani ya dk 10.

Yaani kampuni zenye technology ya hali ya mawasiliano na habari level DSTV na VODACOM zinarushiana mzigo,zinakwepa kazi yao ya msingi kabisa- HUDUMA KWA MTEJA.

Kisa ni hiki, jana nimelipia kifurushi DSTV kupitia VODACOM na nikarejeshewa sms hii

'' DSTV subscription payment successful.
Smartcard/account 10441580320
TZS 19000.00
Trans ID 5IK01O9ZR6S
Reference 5IK01O9ZR6S
If the service is not restored (E16 error), SMS the word RESET with your smartcard number to 15727. For assistance call 0768 988 800''

Baada ya SMS hiyo hakuna kilichofanyika kwenye king' amuzi changu.

Nikawapigia kwanza DSTV, wakanijuza hawajapokea malipo kutoka VODACOM. Nikakaa kimya. Baada ya nusu saa tena nikawapigia VODACOM. Vodacom wao wakasema malipo yangu yamefanikiwa na ela imeshatumwa DSTV. Heeeeee!

Nikalazimika kuwapigia tena DSTV na wao wakanipa tena jibu kama la awali-HATUJAPOKEA MALIPO YAKO.

Nikacheka kwa huzuni, nikajaribu kujiuliza hivi ishu kama hii ikitokea nani wakumlaumu, nani wakuwajibishwa na kwanini hizi kampuni mbili haziwezi kufanya mawasiliano kuhakikisha kama kweli mteja amelipia na kama amelipia ila kumetokea technical error kwanini wasimsaidie mteja wao alafu wao wamalizane ukizingatia hizi ni kampuni kubwa tu na sio rahisi kurushana!

Jana ikapita, leo inapita... Hakuna jibu la maana ninalolipata toka pande zote mbili, DSTV wanasema niwaambie VODACOM wanirudishie pesa zangu na VODACOM wananiambia niwaambie DSTV wanipe huduma maana malipo yameshaenda. HAJABU HII. VICHAA wamepewa ofisi.... Hawawazi kusaidia mteja wao wala kutatua tatizo... wao ni kumrusha mteja huku na kule.

Narudia kusema tena, hapa TANZANIA tunahitaji sijui MUNGU ashuke kutoka wapi aje afundishe watu kuwajibika na kujali mteja..... HAWAJALI.

Nimeandika na bado nina mengi yakuandika ila mpaka sasa bado nina swali moja muhimu kichwani kwangu.. KAMA VODA NA DSTV kampuni kubwa kabisa zinashindwa ku-sort tatizo dogo kama hili kwa zaidi ya masaa 24 pamoja na kuwapigia simu kila mmoja wao kwa zaidi ya mara 3, sasa hizi kampuni ndogo ndogo zitaweza lipi?! Yaani kama DSTV wanashindwa kufanya mawasiliano na VODACOM kuulizia kama kweli mteja amelipia ili wamfungulie huduma, sasa hizi kampuni ndogo zitaweza lipi?!

Kama voda na DSTV zinakumbwa na uzembe wa kiwango hiki, ni wapi na kampuni ipi hapa Tanzania itakuwa na huduma bora kwa wateja?!

Kazi ipo TANZANIA YANGU.
 
Kwanza wamesharejesha Chanel za ndani ?kama bado hata silipii shame on Dstv na Vodacom
 
Hazijarudi. Wanashauri unapofanya malipo kingamuzi kiwe ON ili iji update moja kwa moja. Inawezekana malipo yanaelewa hewani sababu kingamuzi kilikuwa OFF.
 
Mkuu pole sana mi pia hii ilishawahi nikuta kweny startimes nililipia harafu huduma sjapewa baada ya mda sana ndo nikapewa ila kama una haraka kuna kitu unataka kuangalia wanaboa sana .
 
Nikweli hilo linawezekana, lakini DSTV wanasema hakuna balance kwenye king'amuzi changu hata wakiangalia, na wananiambia toka juzi wateja wanalalamika..... Sasa mm najiuliza kama wateja wanalalamika kwanini hawatafuti ufumbuzi?! Wapo tu ofisini wanasubiria mshahara...
 
Mkuu pole sana mi pia hii ilishawahi nikuta kweny startimes nililipia harafu huduma sjapewa baada ya mda sana ndo nikapewa ila kama una haraka kuna kitu unataka kuangalia wanaboa sana .
Acha tu kaka.
 
DSTV subscription payment successful.
Smartcard/account 10210616099
TZS 109000.00
Trans ID 5IK11OAPTMF
Reference 5IK11OAPTMF
If the service is not restored (E16 error), SMS the word RESET with your smartcard number to 15727. For assistance call 0768 988 800

Mimi pia nimelipa jana nimepewa maneno tu toka jana...
 
Daahh...kifurushi murua.
 
Vodacom wana matatizo sana siku hzi hasa upande wa M-PESA hata kununua luku walikuwa wanakata hela na token hupati, nilituma hela toka voda kwenda tigo voda hela wakakata hata meseji hawakunirudishia na tigo hela haikufika, it took 24 hrs ile transaction kuwa cancelled na hela kurudi voda tena.
 
Naandika hapa jukwaani nikiwa na mshangao, maswali na huzuni.

Hivi unaweza ukafikiri au ukadhania kampuni kubwa mbili kama VODACOM Tanzania na Multichoice (DSTV) zinaweza kushindwa kutatua tatizo dogo kabisa ambalo hata mtu mjinga asiye na uelewa analitatua ndani ya dk 10.

Yaani kampuni zenye technology ya hali ya mawasiliano na habari level DSTV na VODACOM zinarushiana mzigo,zinakwepa kazi yao ya msingi kabisa- HUDUMA KWA MTEJA.

Kisa ni hiki, jana nimelipia kifurushi DSTV kupitia VODACOM na nikarejeshewa sms hii

'' DSTV subscription payment successful.
Smartcard/account 10441580320
TZS 19000.00
Trans ID 5IK01O9ZR6S
Reference 5IK01O9ZR6S
If the service is not restored (E16 error), SMS the word RESET with your smartcard number to 15727. For assistance call 0768 988 800''

Baada ya SMS hiyo hakuna kilichofanyika kwenye king' amuzi changu.

Nikawapigia kwanza DSTV, wakanijuza hawajapokea malipo kutoka VODACOM. Nikakaa kimya. Baada ya nusu saa tena nikawapigia VODACOM. Vodacom wao wakasema malipo yangu yamefanikiwa na ela imeshatumwa DSTV. Heeeeee!

Nikalazimika kuwapigia tena DSTV na wao wakanipa tena jibu kama la awali-HATUJAPOKEA MALIPO YAKO.

Nikacheka kwa huzuni, nikajaribu kujiuliza hivi ishu kama hii ikitokea nani wakumlaumu, nani wakuwajibishwa na kwanini hizi kampuni mbili haziwezi kufanya mawasiliano kuhakikisha kama kweli mteja amelipia na kama amelipia ila kumetokea technical error kwanini wasimsaidie mteja wao alafu wao wamalizane ukizingatia hizi ni kampuni kubwa tu na sio rahisi kurushana!

Jana ikapita, leo inapita... Hakuna jibu la maana ninalolipata toka pande zote mbili, DSTV wanasema niwaambie VODACOM wanirudishie pesa zangu na VODACOM wananiambia niwaambie DSTV wanipe huduma maana malipo yameshaenda. HAJABU HII. VICHAA wamepewa ofisi.... Hawawazi kusaidia mteja wao wala kutatua tatizo... wao ni kumrusha mteja huku na kule.

Narudia kusema tena, hapa TANZANIA tunahitaji sijui MUNGU ashuke kutoka wapi aje afundishe watu kuwajibika na kujali mteja..... HAWAJALI.

Nimeandika na bado nina mengi yakuandika ila mpaka sasa bado nina swali moja muhimu kichwani kwangu.. KAMA VODA NA DSTV kampuni kubwa kabisa zinashindwa ku-sort tatizo dogo kama hili kwa zaidi ya masaa 24 pamoja na kuwapigia simu kila mmoja wao kwa zaidi ya mara 3, sasa hizi kampuni ndogo ndogo zitaweza lipi?! Yaani kama DSTV wanashindwa kufanya mawasiliano na VODACOM kuulizia kama kweli mteja amelipia ili wamfungulie huduma, sasa hizi kampuni ndogo zitaweza lipi?!

Kama voda na DSTV zinakumbwa na uzembe wa kiwango hiki, ni wapi na kampuni ipi hapa Tanzania itakuwa na huduma bora kwa wateja?!

Kazi ipo TANZANIA YANGU.
kampuni nyingi za kitanzania zikipata wateja wengi wanaanza dharau.. nawapongeza HALOTEL wapo standard.. ingawa wanapata wateja hawa TTCL nao vimeo kweli yaan.. inshort kampuni ndogo ndio za ku trust coz wao ndio wanatafuta wateja wapya

vodaco wanawatenga wateja.. kuna neno wanalitumia linaitwa Mteja wa dhaahabu.. huyu mteja ndio yule aliyeweka vocha nyingi na kutumia mpesa kwa sana... alaf kuna mteja kajamba nani...... ndio sie tunaoweka jero kwa mwaka.. yaan hata uwe na shida kias gan kwanza huwapat customer care uongee nao... ila ukiwa mteja wa dhahabu aaah fasta tu wanapokea simu yako.. ndio tatizo lao hawa.. wanaweka matabaka miongoni mwa wateja badalal ya kutoa huduma stahiki kwa kila mteja
 
DSTV subscription payment successful.
Smartcard/account 10210616099
TZS 109000.00
Trans ID 5IK11OAPTMF
Reference 5IK11OAPTMF
If the service is not restored (E16 error), SMS the word RESET with your smartcard number to 15727. For assistance call 0768 988 800

Mimi pia nimelipa jana nimepewa maneno tu toka jana...
Alafu wapo tu maofisini wanashangaa shangaa
 
kampuni nyingi za kitanzania zikipata wateja wengi wanaanza dharau.. nawapongeza HALOTEL wapo standard.. ingawa wanapata wateja hawa TTCL nao vimeo kweli yaan.. inshort kampuni ndogo ndio za ku trust coz wao ndio wanatafuta wateja wapya

vodaco wanawatenga wateja.. kuna neno wanalitumia linaitwa Mteja wa dhaahabu.. huyu mteja ndio yule aliyeweka vocha nyingi na kutumia mpesa kwa sana... alaf kuna mteja kajamba nani...... ndio sie tunaoweka jero kwa mwaka.. yaan hata uwe na shida kias gan kwanza huwapat customer care uongee nao... ila ukiwa mteja wa dhahabu aaah fasta tu wanapokea simu yako.. ndio tatizo lao hawa.. wanaweka matabaka miongoni mwa wateja badalal ya kutoa huduma stahiki kwa kila mteja
Watoa huduma wetu ni tatizo sana,

Wanaharibu siku yangu bure tu
 
Naandika hapa jukwaani nikiwa na mshangao, maswali na huzuni.

Hivi unaweza ukafikiri au ukadhania kampuni kubwa mbili kama VODACOM Tanzania na Multichoice (DSTV) zinaweza kushindwa kutatua tatizo dogo kabisa ambalo hata mtu mjinga asiye na uelewa analitatua ndani ya dk 10.

Yaani kampuni zenye technology ya hali ya mawasiliano na habari level DSTV na VODACOM zinarushiana mzigo,zinakwepa kazi yao ya msingi kabisa- HUDUMA KWA MTEJA.

Kisa ni hiki, jana nimelipia kifurushi DSTV kupitia VODACOM na nikarejeshewa sms hii

'' DSTV subscription payment successful.
Smartcard/account 10441580320
TZS 19000.00
Trans ID 5IK01O9ZR6S
Reference 5IK01O9ZR6S
If the service is not restored (E16 error), SMS the word RESET with your smartcard number to 15727. For assistance call 0768 988 800''

Baada ya SMS hiyo hakuna kilichofanyika kwenye king' amuzi changu.

Nikawapigia kwanza DSTV, wakanijuza hawajapokea malipo kutoka VODACOM. Nikakaa kimya. Baada ya nusu saa tena nikawapigia VODACOM. Vodacom wao wakasema malipo yangu yamefanikiwa na ela imeshatumwa DSTV. Heeeeee!

Nikalazimika kuwapigia tena DSTV na wao wakanipa tena jibu kama la awali-HATUJAPOKEA MALIPO YAKO.

Nikacheka kwa huzuni, nikajaribu kujiuliza hivi ishu kama hii ikitokea nani wakumlaumu, nani wakuwajibishwa na kwanini hizi kampuni mbili haziwezi kufanya mawasiliano kuhakikisha kama kweli mteja amelipia na kama amelipia ila kumetokea technical error kwanini wasimsaidie mteja wao alafu wao wamalizane ukizingatia hizi ni kampuni kubwa tu na sio rahisi kurushana!

Jana ikapita, leo inapita... Hakuna jibu la maana ninalolipata toka pande zote mbili, DSTV wanasema niwaambie VODACOM wanirudishie pesa zangu na VODACOM wananiambia niwaambie DSTV wanipe huduma maana malipo yameshaenda. HAJABU HII. VICHAA wamepewa ofisi.... Hawawazi kusaidia mteja wao wala kutatua tatizo... wao ni kumrusha mteja huku na kule.

Narudia kusema tena, hapa TANZANIA tunahitaji sijui MUNGU ashuke kutoka wapi aje afundishe watu kuwajibika na kujali mteja..... HAWAJALI.

Nimeandika na bado nina mengi yakuandika ila mpaka sasa bado nina swali moja muhimu kichwani kwangu.. KAMA VODA NA DSTV kampuni kubwa kabisa zinashindwa ku-sort tatizo dogo kama hili kwa zaidi ya masaa 24 pamoja na kuwapigia simu kila mmoja wao kwa zaidi ya mara 3, sasa hizi kampuni ndogo ndogo zitaweza lipi?! Yaani kama DSTV wanashindwa kufanya mawasiliano na VODACOM kuulizia kama kweli mteja amelipia ili wamfungulie huduma, sasa hizi kampuni ndogo zitaweza lipi?!

Kama voda na DSTV zinakumbwa na uzembe wa kiwango hiki, ni wapi na kampuni ipi hapa Tanzania itakuwa na huduma bora kwa wateja?!

Kazi ipo TANZANIA YANGU.
Mkuu,
Kwa ulivoandika kwenye heading ni kama vile hii hela wameipiga hao wawili, lakin ukisoma ndani ni either mmoja wao ndo amepiga,
 
Mkuu sina namna yakujua nani kanipiga, kila mmoja anarusha mzigo kwa mwenzie-sasa nifanye nini zaidi ya kuwalaumu wote tena hadharani.

Lengo hapa, ni mim kupatiwa huduma.
 
""Kama mimi ndiye mfanyakazi wa DSTV au wa Vodacom Nitamwambia mteja anipe maelezo na mawasiliano na viambata vyake vya malipo kisha ninawasiliana na wenzangu(Voda/DSTV kutegemeana ni nani aliyeshugulikiwa) halafu ninampigia simu mteja na kumtatulia tatizo lake.
Kama litachukua mda kutatua basi mteja atarudishiwa fedha yake au huduma yake kisha sisi kama kampuni tutajua tunamaliza vipi tatizo""

Jamani Hayo ni Majibu ya mtoto wa jirani anasoma darasa la Tano yaani katoto kako very bright nimetamani kangekuwa ka kwangu.
Shame on you dstv na voda Hebu kuweni serious na hela zetu sisi wateja maana bila sisi hamtaweza kula
Alaaaaa
 
Shida ni mfumo wa makampuni ya simu yani yule customer care ni kampuni ingine iliyopewa kazi na voda kupokea malalamiko na lawama tu ila anaye yashugulikia ni mwingine tena yuko mbali na huyo anayepokea simu yako
 
Naandika hapa jukwaani nikiwa na mshangao, maswali na huzuni.

Hivi unaweza ukafikiri au ukadhania kampuni kubwa mbili kama VODACOM Tanzania na Multichoice (DSTV) zinaweza kushindwa kutatua tatizo dogo kabisa ambalo hata mtu mjinga asiye na uelewa analitatua ndani ya dk 10.

Yaani kampuni zenye technology ya hali ya mawasiliano na habari level DSTV na VODACOM zinarushiana mzigo,zinakwepa kazi yao ya msingi kabisa- HUDUMA KWA MTEJA.

Kisa ni hiki, jana nimelipia kifurushi DSTV kupitia VODACOM na nikarejeshewa sms hii

'' DSTV subscription payment successful.
Smartcard/account 10441580320
TZS 19000.00
Trans ID 5IK01O9ZR6S
Reference 5IK01O9ZR6S
If the service is not restored (E16 error), SMS the word RESET with your smartcard number to 15727. For assistance call 0768 988 800''

Baada ya SMS hiyo hakuna kilichofanyika kwenye king' amuzi changu.

Nikawapigia kwanza DSTV, wakanijuza hawajapokea malipo kutoka VODACOM. Nikakaa kimya. Baada ya nusu saa tena nikawapigia VODACOM. Vodacom wao wakasema malipo yangu yamefanikiwa na ela imeshatumwa DSTV. Heeeeee!

Nikalazimika kuwapigia tena DSTV na wao wakanipa tena jibu kama la awali-HATUJAPOKEA MALIPO YAKO.

Nikacheka kwa huzuni, nikajaribu kujiuliza hivi ishu kama hii ikitokea nani wakumlaumu, nani wakuwajibishwa na kwanini hizi kampuni mbili haziwezi kufanya mawasiliano kuhakikisha kama kweli mteja amelipia na kama amelipia ila kumetokea technical error kwanini wasimsaidie mteja wao alafu wao wamalizane ukizingatia hizi ni kampuni kubwa tu na sio rahisi kurushana!

Jana ikapita, leo inapita... Hakuna jibu la maana ninalolipata toka pande zote mbili, DSTV wanasema niwaambie VODACOM wanirudishie pesa zangu na VODACOM wananiambia niwaambie DSTV wanipe huduma maana malipo yameshaenda. HAJABU HII. VICHAA wamepewa ofisi.... Hawawazi kusaidia mteja wao wala kutatua tatizo... wao ni kumrusha mteja huku na kule.

Narudia kusema tena, hapa TANZANIA tunahitaji sijui MUNGU ashuke kutoka wapi aje afundishe watu kuwajibika na kujali mteja..... HAWAJALI.

Nimeandika na bado nina mengi yakuandika ila mpaka sasa bado nina swali moja muhimu kichwani kwangu.. KAMA VODA NA DSTV kampuni kubwa kabisa zinashindwa ku-sort tatizo dogo kama hili kwa zaidi ya masaa 24 pamoja na kuwapigia simu kila mmoja wao kwa zaidi ya mara 3, sasa hizi kampuni ndogo ndogo zitaweza lipi?! Yaani kama DSTV wanashindwa kufanya mawasiliano na VODACOM kuulizia kama kweli mteja amelipia ili wamfungulie huduma, sasa hizi kampuni ndogo zitaweza lipi?!

Kama voda na DSTV zinakumbwa na uzembe wa kiwango hiki, ni wapi na kampuni ipi hapa Tanzania itakuwa na huduma bora kwa wateja?!

Kazi ipo TANZANIA YANGU.
Kwa mujibu wa hiyo Sms uliyo pata mbona ina onyesha VODACOM, wameisha fikisha pesa zako DSTV………kitu kingine je ume reset Decoder yako?
 
Nenda police kafungue kesi ya utapeli.
Mkuu Tanzania hii?! Hata hivyo shida yangu hapa ni kuonyesha mshangao kwa kampuni kubwa kama hizi kushindwa kusort ishu ndogo kama hii hiyo nidyo shida yangu....
 
""Kama mimi ndiye mfanyakazi wa DSTV au wa Vodacom Nitamwambia mteja anipe maelezo na mawasiliano na viambata vyake vya malipo kisha ninawasiliana na wenzangu(Voda/DSTV kutegemeana ni nani aliyeshugulikiwa) halafu ninampigia simu mteja na kumtatulia tatizo lake.
Kama litachukua mda kutatua basi mteja atarudishiwa fedha yake au huduma yake kisha sisi kama kampuni tutajua tunamaliza vipi tatizo""

Jamani Hayo ni Majibu ya mtoto wa jirani anasoma darasa la Tano yaani katoto kako very bright nimetamani kangekuwa ka kwangu.
Shame on you dstv na voda Hebu kuweni serious na hela zetu sisi wateja maana bila sisi hamtaweza kula
Alaaaaa
Mkuu Tanzania kuna shida sana sana.....

Kila kona ni stress tu, japo stress na matatizo ndiyo msingi wa ujasiriamali.
 
Back
Top Bottom