Saidy Januzaj
Member
- Apr 13, 2014
- 69
- 10
wakuu nisaidieni wanaojua.hv kifurushi cha dstv bomba cha 17,000TSH. vinahitaji dishi lake na decoder yake au vifaa ni vile vile inatofautiana kwenye kulipa tu???
Vifaa ni vile vile tofauti ni bei ya vifurushi.