DStv Dar delivery(Free delivery)

DStv Dar delivery(Free delivery)

DStv Tanzania

Member
Joined
May 13, 2019
Posts
26
Reaction score
18
DStv -Jiunge na tasnia ya burudani kwa kununua dish na dekoda kwa sh.99,000 na upewe buree kifurushi cha kuangalia mwezi mzima,kifurushi chenye thamani ya sh.69,000 buree,,kifurushi hiki kina chanel zaidi ya 90 zinafika mpaka 100, chanel zenye maudhui mbali mbali kama vile,Michezo,Watoto,Sinema,Dini n.k,,Gharama za ufundi ni 20,000 pekee!
#Note gharama zote ni Tsh.119,000/=
Simu0652125203
Au 0623941270
IMG-20190512-WA0008.jpeg
 
mie dstv nimetosha kabisa,unapata error signal hazitoki hata uongee na customer service,huu mwezi kikimaliza salio siweki pesa,siwezi kuwa nalipia kuangalia E-30
 
Changamoto Mojawapo ya DSTV ni bei ya vifurushi
Nitamsifu sana atakayenishawishi kununua DSTV kwa sababu nilishajijengea kwenye akili yangu kwamba

DSTV NI KWA AJILI YA WENYE NACHO
MATAJIRI
 
Hapana DStv kwa sasa ndio wenye vitu vizuri zaidi ukilinganisha na gharama zake,kwa maana ndio king'amuzi chenye bei nafuu ukilinganisha na vingine kwa sasa
Changamoto Mojawapo ya DSTV ni bei ya vifurushi
Nitamsifu sana atakayenishawishi kununua DSTV kwa sababu nilishajijengea kwenye akili yangu kwamba

DSTV NI KWA AJILI YA WENYE NACHO
MATAJIRI
 
Pole kwa changamoto unayopitia Tafadhari tupatie smart card number yako kwa msaada zaidi
mie dstv nimetosha kabisa,unapata error signal hazitoki hata uongee na customer service,huu mwezi kikimaliza salio siweki pesa,siwezi kuwa nalipia kuangalia E-30
O
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom