KIBURUDISHO
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 1,002
- 278
Tatizo ni wewe mwenyewe mwizi na mpenda vya bure!!Wana JF mambo vip? Hivi karibuni nilikuwa napata channel hizi bila kulipia MNET,CSN,etv,etv africa,MNET ACTION VUZU MNET STAR BLITZ MZANZI na KOWEE Zote za sauz kwa kutumia risiva ya HD ila tatizo zinakatakata sana tatizo ni nini? Nisaidieni
Aina ya ungo unaotumia ni mdogo kama unatumia ule wa futi 6 basi utafute wa futi nane. au location uliopo inaweza ikawa kikwazo.nyie acheni ushamba sio kwamba naiba hizo channel ziko free kupitia mfumo wa HD hata wewe ukiwa na risiva kama WIZTEC MPEG4 HD unazipata na si kwamba zimekatika hewani zipo ila zinascrach swala tuulizane kwa nini zina kwamakwama
Vipi bado unaziangalia? mimi zilishapoteya kwailotatizo nikupandisha sigino ilakwasasa mpg4 HD zinagomaWana JF mambo vip? Hivi karibuni nilikuwa napata channel hizi bila kulipia MNET,CSN,etv,etv africa,MNET ACTION VUZU MNET STAR BLITZ MZANZI na KOWEE Zote za sauz kwa kutumia risiva ya HD ila tatizo zinakatakata sana tatizo ni nini? Nisaidieni
Tatizo ni wewe mwenyewe mwizi na mpenda vya bure!!
Nenda jukwa ra siyasa na udakuTatizo ni wewe mwenyewe mwizi na mpenda vya bure!!
huelewi lolote waachie wenye fani usipende kukulupuka utajishushia hadhi unaonekana nijinsi gani nimbumbu wa hii fani nenda jukwa la siasa na udakuKweli bongo si mchezo yaani mwizi anaona ana haki kabisa na vitu anavyoiba ha ha haaaa!!!
Nenda jukwa ra siyasa na udaku
huelewi lolote waachie wenye fani usipende kukulupuka utajishushia hadhi unaonekana nijinsi gani nimbumbu wa hii fani nenda jukwa la siasa na udaku
Intelsat 906 at 64.2e(3644H8545)-ITV,EA tv5,Capital-(3654H3632)-mozambique,TIM,TPI(3721H4882)-UBC tv(3884v3271)-Star tv(3893v4440)-TBC tv(3900v3800)-Agape tv(3966H2844)-Channel ten(4039v2034)-TBN namibia(4044v2848)-One africa tvSystem enryption DVB-S BISS.Key (01 01 01 03 01 01 AA AC)kama unatumiya STRONG bonyeza 8280 ingiza hizo namba na uzihifazi(4136v6050)- MTN kwenye mpeg4Naomba ututajie frequency, s/rate, setelite name na angle za muelekeo wa Dish ili na sisi tufaidike kaka.
Unajua ni kosa la jinai kumwita mtu mwizi pasipo ushahidi wowote,naona umeimgia jukwaa lisilokuhusu,hivi kwa maisha ya sasa wewe unaweza ukalipa sh laki moja kwa ajli tu ya kuangalia mipira ya uk kwa mwezi ww? Nimeishi baadhi ya nchi za Ulaya nimeshuhudia jinsi raia wa hizo nchi wakiwa bize katika kuchakachua vitu vingi kama vile internet pamoja na hizi channel za kulipia na serikali pamoja na hayo makampuni inajua kabisa kama inaibiwa lakini itafanyeje?Tatizo ni wewe mwenyewe mwizi na mpenda vya bure!!