DSE Index on Bloomberg

Mziba

JF-Expert Member
Feb 7, 2010
245
109
Great!, lakini 0% change It's kind of unrealistic. Hizi namba za toka tarehe 6 Alhamisi. Nadhani, inawezekana kua Soko hufungwa kuanzia siku ya Ijumaa mpaka Jumapili. Nakufunguliwa jumaa tatu, kwahiyo Ilipofungwa Alhamisi ilikua 1,297.25 Ambayo ndio itakao fungulia. Tusubiri Jumatatu. Au kama kuna mkuu anafahamu atujuze.
 

Ndinani

JF-Expert Member
Aug 29, 2010
6,882
3,738
All in all there is not much trading at the DSE mainly because the majority of the people are not versed with the workings of the stock market, moreover the bad performance of TOL [first companny to be listed] and recently NICOL [ a company managed by Tanzanians] has put a damper on potential investors!! The capacity of the Capital Markets Regulatory Authority to police the DSE leaves alot to be desired too.
 

Bantugbro

JF-Expert Member
Feb 22, 2009
4,476
4,242
All in all there is not much trading at the DSE mainly because the majority of the people are not versed with the workings of the stock market, moreover the bad performance of TOL [first companny to be listed] and recently NICOL [ a company managed by Tanzanians] has put a damper on potential investors!! The capacity of the Capital Markets Regulatory Authority to police the DSE leaves alot to be desired too.

For once we need to leave negativity behind, the DSE is surely making positive strides day by day, i wonder what people would comment if it was a stock exchange from one of the neighboring countries!!!

We need to fully comprehend the meaning of the term 'baby steps'
 

MJIMPYA

JF-Expert Member
Mar 27, 2011
504
270
Ndinani, its true even the developed mkt investors are risk averse, most trade referring to past company performance "momentum effect".
I guess most s/holders are holding their shares waiting for dividend, we need to sell when there is good news and price rises.
But also am not sure if the listed companies are transparent and do release news which affects the share price!
Bantugbro, i agree with u, we need to be proud of our DSE but also regulators, DSE and all s/holders we need to create more awareness about capital mkts.
 

Mziba

JF-Expert Member
Feb 7, 2010
245
109
Baada ya Ndinani kutoa hoja ya kuimarisha soko letu. Nilifuatilia zile kampuni mbili ili kuelewa vema. Fikra zangu, kama mtu anae hitaji ushauri wa kununua hisa au kuto nunua hisa kutoka kwa NICOL au TOL. Nikagundua kua ningeshindwa kumshauri au hata kujishauri mwenyewe kunako kufanya uamuzi wa busara kuwekeza. Sikupata Information za kifedha kutoka aidha NICOL au TOL. Katika soko la Hisa na uwekezaji na hata soko la biashara yoyote ile, nadhani baadhi mtakubaliana na mimi kua, kitu muhimu kuliko vyote ni information. Information ndio inayo sababisha kwa kiasi kikubwa tofauti ya mtu kupata faida na hasara. Sasa hizi kampuni mbili ambazo tunazichukulia kama mfano, sio kwa nia ya kuwato dosari, wanauza hisa lakini habari kuhusu namna wanavofanya biasha hiyo na maendeleo yao vigum kuipata. Kwa hili hii wateja wenye busara watabakiza mikono mifkoni. yani watanunua vipi ilhali hawajui utandaji kazi, gharama na faida ya kampuni hizi. Kwa mfano, Financial Statement za NICOL, zilizopo online ni za toka mwaka 2006. Kumbuka hivi tuko katika mwaka 2011. Haya, Hawa TOL wao ndio hata website hawana. well, sikuipata. Au inawezekana kupata habari hizi inabidi umfuate dalali, labda. Kwa maana hiyo hizi kampuni zinajinyima wateja, kiwastan.

Mimi naona kama Kampuni zote mbili ni nzuri, hasa TOL kwa sababu iko kwenye Viwanda vya Nguvu (Energy Industry) na washindani katika nyanja zake sio wengi, angalau kwa sasa. Lakini informatiion hii peke yake, haitoshi kufanyia uamuzi wa busara. Inabidi mtu uangalie maswala ya Fedha. Bila shaka uongozi pia ikiwemo bodi ya wakurugenzi ni muhimu. Jamani waambie, upatikana wa hizi information ni kwa faida ya biashara na wateja. Ndinani aliodokeza moja ya sababu soko halijachangamka ni kua watu wengi hawaelewi namna soko la hisa linavofanya kazi, ok sawa. Lakini kama habari za kifedha hazipatikani, itakua vigum kujifunza au kufunza.
 
1 Reactions
Reply
Top Bottom