lendila JF-Expert Member Joined Sep 26, 2012 Posts 5,805 Reaction score 4,375 Nov 16, 2012 #1 Jamani ningependa kujua kwa wale wataalamu wa website kama kuna wapenzi wa Drupal CMS (drupal.org). Ingekuwa vizuri kama tungekuwa na community hapa bongo au hata east africa.
Jamani ningependa kujua kwa wale wataalamu wa website kama kuna wapenzi wa Drupal CMS (drupal.org). Ingekuwa vizuri kama tungekuwa na community hapa bongo au hata east africa.
Joeli JF-Expert Member Joined Apr 25, 2011 Posts 4,941 Reaction score 3,417 Nov 16, 2012 #2 mi ni mmojawapo asee, naitumia drupal tatizo haina extension nyingi
Michael Amon JF-Expert Member Joined Dec 22, 2008 Posts 8,769 Reaction score 3,649 Nov 16, 2012 #3 C6 said: mi ni mmojawapo asee, naitumia drupal tatizo haina extension nyingi Click to expand... Yep you are right thats why i like wordpress. Its the best CMS and always it will.
C6 said: mi ni mmojawapo asee, naitumia drupal tatizo haina extension nyingi Click to expand... Yep you are right thats why i like wordpress. Its the best CMS and always it will.