ERIK JF-Expert Member Joined Jun 5, 2013 Posts 623 Reaction score 315 Oct 11, 2019 #1 Nauza Drum set full, imekamilika ni used kutoka Taiwani ipo katika hali ya upya kabisaa..... kwa picha na maelezo zaidi naomba tuwasiliane 0658644485. pia tunaweza kubadilisha kwa Mid speaker au bust kwa makubalianeo Maalumu Bei 1,400,000 Attachments IMG-20190711-WA0126.jpg 47.4 KB · Views: 82
Nauza Drum set full, imekamilika ni used kutoka Taiwani ipo katika hali ya upya kabisaa..... kwa picha na maelezo zaidi naomba tuwasiliane 0658644485. pia tunaweza kubadilisha kwa Mid speaker au bust kwa makubalianeo Maalumu Bei 1,400,000
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 46,058 Reaction score 137,033 Oct 11, 2019 #2 Ungeweka na bei mezani ili kupunguza usumbufu wa kupigiwa na kila mtu kuulizia hiyo bei. Mahali ulipo pia, ingependeza sana.
Ungeweka na bei mezani ili kupunguza usumbufu wa kupigiwa na kila mtu kuulizia hiyo bei. Mahali ulipo pia, ingependeza sana.
ERIK JF-Expert Member Joined Jun 5, 2013 Posts 623 Reaction score 315 Oct 11, 2019 Thread starter #3 sawa mkuu nishaweka bei ni 1,400,000