Buchanan JF-Expert Member Joined May 19, 2009 Posts 13,192 Reaction score 1,982 Jan 21, 2010 #1 Hawa Zain wanachezesha droo ya "Ongea uzawadiwe" lakini hizo namba wanazopiga hazionekani kwenye screen! Sasa tutajuaje kama hawapigii mtu wanayemfahamu? Sio wizi mtupu?
Hawa Zain wanachezesha droo ya "Ongea uzawadiwe" lakini hizo namba wanazopiga hazionekani kwenye screen! Sasa tutajuaje kama hawapigii mtu wanayemfahamu? Sio wizi mtupu?
The Boss JF-Expert Member Joined Aug 18, 2009 Posts 49,320 Reaction score 117,671 Jan 21, 2010 #2 Halafu aibu tupu leo.mshindi waliempigia akasema ngoja nipande juu kidogo mawasiliano sio mazuri.. Yaani....what a publicity.......
Halafu aibu tupu leo.mshindi waliempigia akasema ngoja nipande juu kidogo mawasiliano sio mazuri.. Yaani....what a publicity.......
Glucky Senior Member Joined Dec 16, 2009 Posts 123 Reaction score 41 Jan 22, 2010 #3 thats true i think gaming board wanaitaji kupitia swala hili hasa wakati tunapoelekea kupata vogue. inabidi namba ionekane
thats true i think gaming board wanaitaji kupitia swala hili hasa wakati tunapoelekea kupata vogue. inabidi namba ionekane
Bigirita Platinum Member Joined Feb 12, 2007 Posts 16,049 Reaction score 7,489 Jan 22, 2010 #4 The Boss said: Halafu aibu tupu leo.mshindi waliempigia akasema ngoja nipande juu kidogo mawasiliano sio mazuri.. Yaani....what a publicity....... Click to expand... Hii kitu na mm nilicheka sana! mtandao ulioenea nchi nzima!!
The Boss said: Halafu aibu tupu leo.mshindi waliempigia akasema ngoja nipande juu kidogo mawasiliano sio mazuri.. Yaani....what a publicity....... Click to expand... Hii kitu na mm nilicheka sana! mtandao ulioenea nchi nzima!!