Drones na kibali

leipzig

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2013
Posts
2,766
Reaction score
1,716
Nimekuwa nasumbuliwa sana na ndege waharibifu wa mazao shambani na hivyo nikashauriwa kuwa naweza kutumia drones ndogo ndogo kwa ajili ya kufukuzia hao ndege waharibifu, sasa je nahitaji kuwa na kibali cha umiliki wa drones? kama ndio process inaanzia wapi?

Ni mimi mkulima wa ufuta, mpunga n.k.
 
nafahamu kurusha drone inapaswa kuwa na kibali, sehemu ya kuanzia nadhani ungeanzia pale aviation maana hao bilashaka ndo wahusika wakuu, ka kunamwingine anaweza saidia, kurusha drone mkuu ni mpaka ulambe kibali
 
Bado sijaelewa hiyo drone itakusaidia vipi kufukuza hao ndege waharibifu?
Hao ndege wanakuwa wamezagaa sehemu kubwa shambani kiasi kwamba ni vigumu kuwafukuza eneo lote lakini ukiweza kutumia hiyo drone kuwafukuza kwenye eneo kubwa bila kutembea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…