duh kagame akisikia hii maneno lazima ataanza kulalamika.
The drones will be used to monitor the volatile border between Congo and Rwanda and the movements of armed groups in the region.
The United Nations will start using surveillance drones for the first time in the Democratic Republic of Congo on Tuesday, United Nations officials said Monday. The drones will be used to monitor the volatile border between Congo and Rwanda and the movements of armed groups in the region. The United Nations has a huge peacekeeping mission in Congo, and the drones will be "an important tool to assist the mission in fulfilling its mandate to protect civilians," said a United Nations spokesman, Martin Nesirky. The mission will start with two drones, built by an Italian company, officials said.
Nchi ndogo kama Rwanda inabidi foreign policy zake itizame upya.Kuwa na uadui na majirani na jumuiya ya kimataifa hadi wampelekee madege hayo ya kivita si afya kabisa kwa Rwanda.
Bunge limsaidie Kagame kuhusu uendeshaji nchi.Na wataalamu wa Rwanda wamsaidie kumshauri Kagame kubadilika na kubadilisha mitizamo na siasa kutokana na mabadiliko ya ndani na ya kimataifa
Alichoshauri Kikwete cha muhimu Kagame akitilie maanani.Kagame aongee na waasi wayamalize na ahakikishe mifumo ya demokrasia inafanya kazi ndani ya Rwanda na hao wapinzani wa kisiasa walioko magerezani awaachie na fursa awape wote bila kujali kabila na historia ya nyuma ya yaliyopita kama afrika ya kusini walivyofanya akina Mandela ili Rwanda iachane na mavita wakae wajenge nchi.
Sasa nimeelewa kwa nini siku chache zilizo pita Kabila anatembea kifua mbele na kuhutubia kule Goma na Kisangani!
Hapo nakubaliana nawe by 100%, ila M23 wasije wakawa wanajipanga kurudi na jina jipya mfano "BLACK SEPTEMBER".I hope Congolese watapata amani na kuendelea na misha yao kama kawaida lakini FDLR lazima isafishwe100% kwa security ya Rwanda na Congo.
Hizo drone jinsi zinavyopiga automatic na protocally ipo siku watakuta maiti ya KAGAME kabutuliwa mkavu....ndo dunia atakapojua kuwa PK alikua anafanya Looting mission za madini Congo directly
Mkuu tunapashwa kuwa wangalifu, jamaa hawa ni waigizaji mahili aingii akilini kwamba Kabila Jr ambaye aliwahi kuwa chini ya PK wakati wa mapambano ya kumuondoa Mobutu madarakani, leo hii ni sworn enemy wa PK na mjomba wake waziri wa Ulinzi Rwanda!
hizo drone hazina uwezo wa kupiga ni maalumu kwa picha tu