Drogba kuondoka chelsea

Drogba kuondoka chelsea

GOKILI

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
634
Reaction score
439
Didier Drogba amewaaga wachezaji wenzake wa klabu ya chelseaya uingereza na kuwaeleza kuwa muda umewadia
wa yeye kutemana na klabu hiyo ambayo ilishinda ubingwa wa ulaya jumamosi iliyopita kwa kuilaza bayern munich ya ujerumani.Inasemekana huenda Drogba akelekea China kuungana na Nicolas Anelka .
 
kwa bei gani?
kama kweli ataondoka, inasemekana atavuta hela ndefu ambayo hata roman abramovic hawezi kumlipa...tembo amesha achieve vitu vyote kwenye epl sasa ni saa ya kusaka mapesa ya kustaafu soka...!
 
good decision Didier! Kale mpunga wa kichina kiulaini, job well done! U r legend at stamford bridge! Utaishi ktk mioyo yetu 4 many yrs to come!
 
I wish him all the best wherever he is,he has done a lot 2 us viva chelsea viva Drogba
 
Unapozungumzia juu ya mafanikio ya Chelsea now days bac hautosahau kumtaja m2 anaeitwa Didie Drogba anastahiki heshma ktk kuchukua kombe la Uefa!
Then nackia kuwa kisa cha yeye kuondoka ni kunyimwa mkataba wa Miaka 2 ambayo yeye alìhitaji coz walitaka kumpata mkataba wa mwaka 1 bt all da 2 him!
 
A very good decision to leave while you're on top of the World....Congratulations! Goodluck and all the best.
 
A very good decision to leave while you're on top of the World....Congratulations! Goodluck and all the best.


Naona kimoyomoyo unashangalia, maana record yake vs Arsenal ni noma!
Hahahaha....
 
Back
Top Bottom