Tumia airtel
Ingia google andika Tms check,ikifunguka ingiza namba ya gari halafu utahakiki.Habari wadau wa jf
Mwenye kujua menu ya kucheki driving license kama inadaiwa au gari kama inadaiwa naombeni mnijuze kwa njia ya simu(tigo)
Nmjrb kucheki webste nkkta these menu *152*75* lkn kila nikijarbu inagoma...mwenye current means of checkng anisaidie
Niwatakie weekend njema
Ooh thankyou mzee
Iko active
Thnkyou
Mkuu fuata maelkz ya mr johng itfnguka kama mm nlvyfnyaMi nimejaribu lkn sielewi.
Nimeandika no.ya gari ipo kimya tu