masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,835
- 14,990
Ni kweli, lakini ndio sehemu madereva wengi gari inawazidi ujanja.Iyovi...Hata mimi nilijua hivyo ila nakumbuka January 07 2021..Dereva dei waka wa basi 'pendwa' aliikata Iyovi spidi 90 ~ 110Km/h,sikuamini mpaka nilivyoiona mikumi hii hapa..
Barabara hizi ni uzoefu..wewe na mimi tu apita mara 2 mpk 4 kwa mwaka ila kuna wababe wanapita kila siku 2 wanajua mibinuko yote..
View attachment 2320457
Kwa wale wenzangu enthusiasts wa driving stretch ya DSM -Mbeya and beyond.
Nimewawekea clip ya sehemu za Iyovi.
Sehemu hizi inabidi upende usipende uendeshe kwa adabu, na spidi ndogo.
Uki overspeed uendeshe kwa spidi ku overtake malori bila mpango, baasi mabonde hatari na miti na mito inakukaribisha.
Mkuu hapo umeongea point mimi humu ni mwendo wa 110 au 120...tena nyakati za usiku kuna kua kumetulia unaangalia tu IT wasikugonge...kutoka Iyovi mimi hua ni mbio mpaka mitaa ya Mzumbe huko mangae na mangai ni kuepeleka moto kwenda mbele njia ya mbeya raha sana....Sasa kwa safari ya Dar - Mbeya, ili kuifanya safari isiwe ndefu kuna vipande ambavyo unatakiwa ukamue haswa...
Moja ya vipande hivyo ni kati ya Mikumi - Iyovi - Ruaha, then kuna Makambako - Iringa na mwisho ni Moro - Chalinze...
Hapo Iyovi watu tunatembea 150+, Iyovi ina kona za hatari 3 hivi basi...
Mkuu hapo umeongea point mimi humu ni mwendo wa 110 au 120...tena nyakati za usiku kuna kua kumetulia unaangalia tu IT wasikugonge...kutoka Iyovi mimi hua ni mbio mpaka mitaa ya Mzumbe huko mangae na mangai ni kuepeleka moto kwenda mbele njia ya mbeya raha sana....
Iyovi japokua ina konakona lakini ajali ni chache sababu kila dereva anakua makiniHapo watu wa IT hutembea 120
Mkuu Iyovi at 150+ na kona kona zile?Sasa kwa safari ya Dar - Mbeya, ili kuifanya safari isiwe ndefu kuna vipande ambavyo unatakiwa ukamue haswa...
Moja ya vipande hivyo ni kati ya Moro - Doma, Mikumi - Iyovi - Ruaha, then kuna Makambako - Iringa na mwisho ni Moro - Chalinze...
Hapo Iyovi watu tunatembea 150+, Iyovi ina kona za hatari 3 hivi basi...
Sasa kwa safari ya Dar - Mbeya, ili kuifanya safari isiwe ndefu kuna vipande ambavyo unatakiwa ukamue haswa...
Moja ya vipande hivyo ni kati ya Moro - Doma, Mikumi - Iyovi - Ruaha, then kuna Makambako - Iringa na mwisho ni Moro - Chalinze...
Hapo Iyovi watu tunatembea 150+, Iyovi ina kona za hatari 3 hivi basi...
Mkuu Iyovi at 150+ na kona kona zile?
Its almost impossible.
Ndio maana nikatoa tahadhari.
Stretch ya kukamua(hasa usiku), ni Moro- Doma, Ruaha-Comfort, Msitu wa Sa HillMakambako-Igawa.
Hapo hali ikiruhusu hata 200-220+ unakamua.
Duh, poleMkuu bado sehemu hizo ni hatari kwa spidi kali.
Nilimwazima shemeji yangu gari akielekea msiba wa baba yake huku Tukuyu.
Hakufika salama.
Gari aliipiga chini hapo Iyovi, aliingia gema- karibu na sehemu sasa inapanuliwa.
Nikapata kibarua cha kuifuata gari, maana yeye ilibidi apate usafiri mwingine kwenda msibani.
Hadi leo, napaheshimu.
Wewe unataja basi la Sauli.Iyovi...Hata mimi nilijua hivyo ila nakumbuka January 07 2021..Dereva dei waka wa basi 'pendwa' aliikata Iyovi spidi 90 ~ 110Km/h,sikuamini mpaka nilivyoiona mikumi hii hapa..
Barabara hizi ni uzoefu..wewe na mimi tu apita mara 2 mpk 4 kwa mwaka ila kuna wababe wanapita kila siku 2 wanajua mibinuko yote..