Habari,
Nataka nijiunge na BASIC DRIVING COURSE veta mbeya, kwa anayefahamu gharama zao, au namba ya mwalimu wa udereva wa pale, na pia sample joining form anisaidie please.
Nawasilisha.
Habari,
Nataka nijiunge na BASIC DRIVING COURSE veta mbeya, kwa anayefahamu gharama zao, au namba ya mwalimu wa udereva wa pale, na pia sample joining form anisaidie please.
Nawasilisha.
Kwani huko nje ya mbeya?
Kwanini utake hostel coz ya wk 4 tuu?
Afu ni vzr ungeenda pale veta ukapate data kamili
Kuna bajaji pale kabwe zinaenda veta nauli jero,fikachuoni upate data kama uko maeneo ya mbeya