Drivers TRA 17DEC22

Drivers TRA 17DEC22

Hello guys. Kwa wakazi wa Moshi/Arusha kuna usafiri private kwa watu wanne interested.
Bei ni Tshs elfu 65 tu Go and return.
Tutaondoka jumamosi tarehe 17/12/2022 saa moja asubuhi.
PACKAGE INCLUDES:
1.Usafiri kutoka Moshi bus stand saa moja asubuhi ya tarehe 17 hadi Dodoma mjini.
2. Usafiri kutoka Dodoma mjini hadi UDOM ukumbi wa CIVE au kumbi jirani tarehe 18 saa kumi na mbili asubuhi (ili kuwahi interview).
3. Usafiri kutoka ukumbi wa interview hadi Dodoma mjini tutakapofikia.
4. Baada ya interview usafiri hadi Moshi stand. Siku ya tarehe 19 saa moja asubuhi.
✓Other benefits include:
•Kudiscuss kwenye gari kwa pamoja
•Kusimama popote njiani and other benefits of a private travel.
DM if interested.
N.B HUU NI MSIMU WA SIKUKUU, UNAWEZA UKAKWAMA EITHER KWENYE GARI ZA ABIRIA KWENDA AU KURUDI, AU NAULI KUPANDA KUPITA KIASI.
MALIPO YANAPOKELEWA KWA MKONO MWISHO SIKU YA IJUMAA YA TAREHE 16/12/2022 SAA SITA MCHANA
 
Vilainishi kwenye magari vimegawanyika ktk makundi matatu, elezea kwa kifupi makundi hayo.
 
Wadau wa udereva na madereva walioitwa na ambao hawajaitwa kwenye mkeka wa TRA.

Written interview itakua jmosi 17dec, wadau naomba tuunde group discussion tujadili possible questions (whatsapp itakua poa au hata hapa jf poa tu).

Bila kupeana maujanja jamani wengine hatutotoboa!

[emoji1485]naanza na hili swali hapa..
Qn: Ishara, alama na michoro ya barabarani ni nini?
Ans:Ni lugha thabiti kuhusu mitandao ya barabara.
Jiandae Kwa practical kwanza hayo maswali yatakuja Kwa waliofaulu practical
 
Wadau wa udereva na madereva walioitwa na ambao hawajaitwa kwenye mkeka wa TRA.

Written interview itakua jmosi 17dec, wadau naomba tuunde group discussion tujadili possible questions (whatsapp itakua poa au hata hapa jf poa tu).

Bila kupeana maujanja jamani wengine hatutotoboa!

[emoji1485]naanza na hili swali hapa..
Qn: Ishara, alama na michoro ya barabarani ni nini?
Ans:Ni lugha thabiti kuhusu mitandao ya barabara.
Nahisi swali hili
Utatumia mbinu gani kufika sehemu ya mbali kwa muda mfupi bila kuathiri watumiaji wengine wa barabara
 
Kumbe lile Tangazo la serikali kutoajiri madereva lilikuwa uongo?
 
Unaweza kushusha nondo bro kua yalikuaje hayo maswali kama unayakumbuka
Okay nitaandika km ninavyokumbuka, sio exactly km walivyoandika wao.

1/ Taja mambo matano yanayopunguza ubora wa oil.
2/kuna picha za alama ya zone ya albino,mwisho wa lori kuovatek gari ndogo, makutano ya T, na mchoro wa barabara ya njia tatu yenye mishale miwili kwenda mbele na mmoja unaochepusha kulia (hizo uelezee)

3/Taja mambo matano yanayofanya diesel iwake.

4/ Taa zipi kwenye dashboard utazingalia kabla hujatoa gari? Taja zozote tano.

5/ andika kirefu cha (a)SAE (b)ATF

#muda dk40 za magumashi,yani ghafla tu unasikia bado dk15[emoji2955] mara bado dk 5 dahh
 
Ok Shukran mkuu.

Mungu Akufanyie wepesi

Sisi wengine wageni katika maombi ya kazi katika kada ya udereva serikalini hivyo haya naamini yatatusaidia kujua namna maswali yao yanavyo toka hii itatupa experience zaidi

Ingawa nashauri kama kuna uzi wa madereva humu ningepata link yake au kama hamna basi ingewezekana kuanzishwa ingekua bomba sana

Kama huu Uzi ni ulikua smart sana kwa madereva lakini naona haukua na sapoti kubwa

Sijua shida iko wapi zaidi ila Hongera bro

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Inafikirisha aisee raia hawataki kutoa ushirikiano, naamini humu wapo madereva mbalimbali. Ila hatuwazi ndio uzi umeanza tutautumia ipasavyo.
 
Ok Shukran mkuu.

Mungu Akufanyie wepesi

Sisi wengine wageni katika maombi ya kazi katika kada ya udereva serikalini hivyo haya naamini yatatusaidia kujua namna maswali yao yanavyo toka hii itatupa experience zaidi

Ingawa nashauri kama kuna uzi wa madereva humu ningepata link yake au kama hamna basi ingewezekana kuanzishwa ingekua bomba sana

Kama huu Uzi ni ulikua smart sana kwa madereva lakini naona haukua na sapoti kubwa

Sijua shida iko wapi zaidi ila Hongera bro

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Madereva wengi wapo kwenye uzi unaoitwa "wazee wa Road trip mpo"
 
Wametoa matokeo, wamenza kuchukua wastani marks 52. Waliopita wataendelea hatua ya pili i.e alama na practical.
Tuendelee kupeana maujanja wazee.
 
Back
Top Bottom