Vipi Mkuu.Sawa Sawa
Bado KiongoziVipi Mkuu.
Wameita?
iBado Kiongozi
Imekuwaje sasa?Nakumbukuka pia niliomba lakini sikufanikiwa nilipata notification inayosema"Job Application failed"
Entry kwa bachelor kias gan wanalipa?Osha waku vizur sana, ni moja ya taasis inayolipa vuzur sana! Rate zao NHIF, NSSF, na MSD wakasome!