jamani msaada kuna mdau alipost hapa hiyo kitu sasa imekuwa na shida kwenye kuistall sasa naomba kama kuna aliye kuwa amesave anitupie hapa nami niipakue plzplz!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

HII HAPA KAKA BUT FUATA MAELEKEZO ILI UPATE MATOKEO MAZURI...!!!!
1.Download hiyo attachment then extract kwa winrar
2.ukifungua itatokea kama hivi pichani huku ikipiga mziki wa kukuburudisha
3.Click hapo palipoandikwa Install kama inavyoonyesha picha itatokea program anza kuinstall it.
4.ukishamaliza kuinstall sasa hamia hapo palipoandikwa crack itatokea installation nyingine wewe click next then........click browse alafu click program file then tafuta file uliloinstall awali select on it and click ok then click install kama inavyoonyesha picha hapo chini.
MUHIMU WAKATI UNAFANYA ZOEZI ILI LAZIMA UWE KWENYE NET PIA WAKATI UNASCAN DRIVERS NET LAZIMA IWEPO.
ENJOY........!!!