Jamii Opportunities
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 5,157
- 1,688
Executive Director
Tanzania Social Action Fund
Board of Trustees of PSSSF Building
Jakaya Mrisho Kikwete Road
P.O. Box 2719
DODOMA.
Applications (In PDF Format), enclosing scanned certified copies of certificates and Curriculum Vitae be sent through the following email address: hrm@tasaf.go.tz
Leseni yangu ni class D ndugu na vyeti ninavyo je nina sifa za kuomba?Wee kama una vigezo omba mkuu.
Leseni yangu ni class D ndugu na vyeti ninavyo je nina sifa za kuomba?
Hawa raia wanaposema C class huwa nafurahi sana utadhani huko kuna basi za mkoa unakwenda kuendesha.
Sent from my itel it1508 using JamiiForums mobile app
Unajua nini wanakosea sana, hapo wangeweka C1, C2, na C3 ndiyo zinafaa kwa matumizi yao ila C plain wanafeli na ndiyo maana wengi wakishaona hivyo hata hawahangaiki kutuma. Nafikiri ni mbinu ya kupunguza waombaji wa hiyo nafasi tuLabda wanadhani ukiwa na C ndio unakuwa dereva bora pengine.
Unajua nini wanakosea sana, hapo wangeweka C1, C2, na C3 ndiyo zinafaa kwa matumizi yao ila C plain wanafeli na ndiyo maana wengi wakishaona hivyo hata hawahangaiki kutuma. Nafikiri ni mbinu ya kupunguza waombaji wa hiyo nafasi tu
Sent from my itel it1508 using JamiiForums mobile app
Ngoja tutume tungoje majibu uzuri hawaja recommend chuo hapo nimependaNi kweli kabisa kiongozi kwa sababu hizo ndio daraja za kuendesha gari za viongozi, mabalozi, wabunge etc.
Na hizo gari ndizo zinazotumika sana kwenye hayo mashirika au makampuni, hata coaster basi ukiwa na hizo unaendesha incase kama kuna staffs wanaotakiwa kutumia coaster hizo class zinatosha kabisa sasa sijui kwa nini wanataka lazma uwena C KAVU nashindwa kuwaelewa kabisa.
Ngoja tutume tungoje majibu uzuri hawaja recommend chuo hapo nimependa
Sent from my itel it1508 using JamiiForums mobile app