Driver- (3 Posts) at British High Commission

Kama kuna aliyeomba ingia kwenye "ajira portal" yao fungua review status wameweka majibu kama umefuzu vigezo au la....mimi nimeshindwa
Unafikiria ni kwanini mkuu?
Aisee. Kwa huyu dogo hakuna notification yoyote.
 
Wakuu mambo vipi?
Nasikia hawa jamaa wameita watu wachache sana kwenye interview ndio maana wengi hawajaitwa.
Sababu ni nini aisee na nafasi ni 3?
 
Wakuu mambo vipi?
Nasikia hawa jamaa wameita watu wachache sana kwenye interview ndio maana wengi hawajaitwa.
Sababu ni nini aisee na nafasi ni 3?

Wazungu hawanaga tabia ya kuita watu rundo ..

Wanaita wachache wanaoona wana vigezo wanavyotaka kama uzoefu wa udereva na ufundi gari kwa ushahidi uliooonyoooka
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…