Nkuba25 JF-Expert Member Joined Nov 18, 2015 Posts 2,374 Reaction score 13,097 Feb 16, 2016 #1 Habari wana Bodi Ninauza Drip System Kits Mpya. Hizi Drip System zinatosheleza ukubwa wa shamba la ekari 3.5 Bei ni Milioni 3. Kwa mawasiliano zaidi na majadiliano ni PM. Asante Attachments Drip Irrigation Kits.docx Drip Irrigation Kits.docx 352.6 KB · Views: 80
Habari wana Bodi Ninauza Drip System Kits Mpya. Hizi Drip System zinatosheleza ukubwa wa shamba la ekari 3.5 Bei ni Milioni 3. Kwa mawasiliano zaidi na majadiliano ni PM. Asante
H hassara Member Joined Jan 27, 2016 Posts 47 Reaction score 3 Feb 16, 2016 #2 hiyo kit inajumuisha vitu gani..? weka namba cm..
Nkuba25 JF-Expert Member Joined Nov 18, 2015 Posts 2,374 Reaction score 13,097 Feb 16, 2016 Thread starter #3 hassara said: hiyo kit inajumuisha vitu gani..? weka namba cm.. Click to expand... Hiyo ni complete set inayotosha ekari 3.5 za shamba. Ukichukua ni kwenda kuzifunga tu. Number hiyo hapo: 0767 836 872
hassara said: hiyo kit inajumuisha vitu gani..? weka namba cm.. Click to expand... Hiyo ni complete set inayotosha ekari 3.5 za shamba. Ukichukua ni kwenda kuzifunga tu. Number hiyo hapo: 0767 836 872
C chayowa JF-Expert Member Joined Aug 15, 2011 Posts 413 Reaction score 112 Feb 17, 2016 #4 Ziko wapi?
Nkuba25 JF-Expert Member Joined Nov 18, 2015 Posts 2,374 Reaction score 13,097 Feb 17, 2016 Thread starter #5 Ziko hapa hapa Dar. Ni SMS kwenye hiyo number.
MrIsidori Senior Member Joined Apr 3, 2014 Posts 191 Reaction score 83 Mar 17, 2016 #6 Kit moja ina urefu wa metre ngapi? Itatosha kumwagilia vitungu acre 3.5 kwa pamoja? kumbuka mstari hadi mstari ni sm 31
Kit moja ina urefu wa metre ngapi? Itatosha kumwagilia vitungu acre 3.5 kwa pamoja? kumbuka mstari hadi mstari ni sm 31
kanyan Member Joined Jan 29, 2015 Posts 13 Reaction score 1 Mar 17, 2016 #7 Kits zinatoka kampuni gani na je zinajumuisha vitu gani?
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,932 Reaction score 30,045 Oct 10, 2016 #8 Majibu please