Mkuu nimependa maelezo yako toka awali.
Naomba unijulishe zile ulizoziita irrigation zones ambazo zipo mikoani...particularly maeneo ya Mwanza nilipo mimi.
Natanguliza shukrani.
Hii system si tuliambiwa unapandisha tenk juu maji yanatililika yenyewe kutoka kwenye tenk kwenda kwyenye mipira iliyolazwa shambani, haiitaji pamp kuyasukuma shambani. Sasa hayo mafuta ya pampu yanatumika kwa kazi ipi tena??
Ndugu mzawa, jibu ni ndio!!! drip inaeza fanya kazi katika mazao mengi sana!! na katika mahindi ni uhakika kwamba itafanya vizuri!!mkuu lordville hii system ya drip irrigation inafaa kwa kilimo cha mahindi?
Ndugu yangu ibra, ulichosema ni sahihi lakini hii haiwezekani kwenye kilimo kikubwa (large scale farming), na mara nyingi wanatumia kwenye gadeni ndogo za majumbani...kwa case hii ina maana maji yatakua yanasambazwa kwa kani mvutano (force of gravity) na ni vyema ukawa eneo la mwinuko kidogo!! kwa kifupi ni ngumu sana na hata ufanisi wake utakua chini tu!! hamna jinsi utahitaji pump ndugu!!Hii system si tuliambiwa unapandisha tenk juu maji yanatililika yenyewe kutoka kwenye tenk kwenda kwyenye mipira iliyolazwa shambani,
Ni vigumu kuweka lita zaidi ya 10000 kwenye tanki juu bila pump!! kama nilivyosema kwa eneo kubwa na ufanisi bora utahitaji pump na sio pump tu, pump ambayo itatoa presha stahiki kwenye mazao shambani bila ya uharibifu wa mazao au udongo!!haiitaji pamp kuyasukuma shambani. Sasa hayo mafuta ya pampu yanatumika kwa kazi ipi tena??
Mkuu nimependa maelezo yako toka awali.
Naomba unijulishe zile ulizoziita irrigation zones ambazo zipo mikoani...particularly maeneo ya Mwanza nilipo mimi.
Natanguliza shukrani.
Ndugu mzawa, jibu ni ndio!!! drip inaeza fanya kazi katika mazao mengi sana!! na katika mahindi ni uhakika kwamba itafanya vizuri!!
Ndugu yangu ibra, ulichosema ni sahihi lakini hii haiwezekani kwenye kilimo kikubwa (large scale farming), na mara nyingi wanatumia kwenye gadeni ndogo za majumbani...kwa case hii ina maana maji yatakua yanasambazwa kwa kani mvutano (force of gravity) na ni vyema ukawa eneo la mwinuko kidogo!! kwa kifupi ni ngumu sana na hata ufanisi wake utakua chini tu!! hamna jinsi utahitaji pump ndugu!!
Ni vigumu kuweka lita zaidi ya 10000 kwenye tanki juu bila pump!! kama nilivyosema kwa eneo kubwa na ufanisi bora utahitaji pump na sio pump tu, pump ambayo itatoa presha stahiki kwenye mazao shambani bila ya uharibifu wa mazao au udongo!!
Naimani wako wengi mkuu, ila ambao nna uhakika nao kuna wa pale SUA kwenye idara ya udongo, SUA idara ya uhandisi kilimo, kama SUA ni mbali unaweza pitia irrigation zone ambayo iko karibu nawe nadhani watakupa mwangaza zaidi. Kuhusu mashamba, naiman yako mengi ila kuna Mtibwa kama si kilombero sugar na hata TPC wanatumia sana drip irrigation, kuna watu binafsi pia ila hawa sijabahaitika kutana nao ila am sure wapo!!.Maelezo mengine tutapata kwa wadau..shukrani Mr LORDVILLE!chanzo cha maji ni mto RUAHA , landscape ya shamba sio almost perfectly flat kuna sehemu zingine ina slope kidogo na nyingine tambarare!
Hawa watalaamu wa kupima soil moisture nitawapata wapi Tanzania , na wanatest udongo wa mda gan!
Ingekuwa vizuri ungenielekeza kwa watu waliofanya drip irrigation project on large scale farms ili niwavisit na kupata maujuzi
- View attachment 216681Furrow irrigation is conducted by creating small parallel channels along the field length in the direction of predominant slope. Water is applied to the top end of each furrow and flows down the field under the influence of gravity.
Green agriculture company, tupo Morogoro mjini, contact 0763347985 Eng Octavian Lasway (irrigation engineer)Salaam wana JF wote! je ni kampuni gani hapa Tanzania inaweza kufunga "efficient drip irrigation system" maana hii teknolojia ya umwagiliaji inasekana kuwa ya ufanisi mkubwa. Nakarisha wadau wote wenye ujuzi na teknolojia.
Mnakopesha?Green agriculture company, tupo Morogoro mjini, contact 0763347985 Eng Octavian Lasway (irrigation engineer)