Nimetuma kila kitu angalia proforma invoice. Ni dola alfu nane na ...sh. ngapi
Nimetuma kila kitu angalia proforma invoice. Ni dola alfu nane na ...
Wapo watu wa kukusaidia kufunga,utasaidia kuifunga kwa mteja au inakuwaje?
Wapo watu wa kukusaidia kufunga,
Lkn itabidi uwalipe kwa kutwa alfu 15 kwa kichwa
Hapana wewe muongo.NACHOJUA NIKUWA HIZO ZA INDIA NI FECKI KWANI ZILIISHA WHI KULTEWTA HTA TAP PROJECT CHINI YA FINTRAC NIKAISHIA KUONA VIROJA ILA \ZINGEKUWA ZA ISRAELI NINGEKUBLI
HapanaHukodishi?
mfano?Zipo kampuni nyingi ambazo zinatumia round drip line