Chibudee
JF-Expert Member
- Dec 28, 2016
- 1,775
- 2,400
Habari za wakati huu Wakuu Natumai muwazima wa afya tele Mm nikijana mwenye umri wa miaka 20 Nimefanya kazi zakuajiriwa takribani miaka miwili Nimeona issue ya kuajiriwa Napoteza muda mwingi kumtumikia mtu bila faida yoyote hivyo nikaanzisha wazo langu la biashara Kwa sasa Natangeneza vyakula kwa oder maalumu Ma ofisini na majumbani Uwe na party yako ndogo kama birthday meeting nk waweza fanya booking nanikakutengenezea chakula unacho hitaji kwa bei poa na chenye laza na mood yakukufanya kula na kuburudika zaidi Naombeni saport yenu wakuu kwa ma ofisini waweza weka booking yako mapema kwa whats app +255759568893 au call +255712568893 Karibuni Dreams food naimani kupata sapoti zenu kuniwezesha kupiga hatua zaidi
<br />