Dream league soccer

Hapa ndo dream league waliboronga
 

Attachments

  • 1434117288200.jpg
    42.2 KB · Views: 119
Hapa ndo dream league waliboronga

kaka ipo hio kwenye mpira, seems huufuatilii sana mpira. beki akimrudishia kipa mpira, kipa haruhusiwi kuudaka anatakiwa aupige na mguu. ikitokea kipa akiudaka then inakuwa fould ndani ya box ambayo mabeki wanatanda kama hio na sio penalty.



japo ni mara chache sana hutokea ila ipo hio.
 

hapo kwenye red ndio nini hicho?
 

Hahahaaaa hii nimeipenda hii mm bado haijanitokea asee.
 
kwahiyo unaweza ku-edit data za game mkuu? Chief-Mkwawa

mara chache sana unaweza kuedit ila mara nyingi huwezi, mtu anapocheat au ku mod game ni user data kama save file linalobadilishwa. na ndio maana unaona kucheat mara nyingi inataka simu yako iwe rooted. ukiroot simu unapata acess ya save file la game ambalo mara nyingi linakaa root/data/data/jina la game
 
Last edited by a moderator:

Shukran sana mkuu
 
Mkuu ulishapata
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…