obb unaipata kwenye sdcard/android/obb
ukifungua file manager utaona folder limeandikwa android ingia humo utaona kuna mafolder mawili data na obb ingia obb utaona data za dream league.
pia unaweza tumia gameguardian kucheat maana hiki kigame ni kirahisi sana kucheat, huku kwenye windows phone tunatumia tu txt editor.
kwenye gameguardian search coin zako then utapata result nyingi nunua kitu then coin zitapungua tafuta result iliopungua zitajichuja na kubaki chahce endelea hivyo hivyo hadi unapata adress ya coin then change unayotaka
hiko kikosi changu even messi hana namba.
kama still ni mvivu hivo hapo juu vimekushinda link hizi hapa apk na data
https://userscloud.com/1oxhkc4uvull
https://userscloud.com/jwqp3b9rtrq1
Mkuu mbona game jepesi tu bila kuchakachua nimeanza week tu now nipo ligi kuu
Chief-Mkwawa mkuu unaita kigame! Haya bwana
Chief-Mkwawa mkuu unaita kigame! Haya bwana
Nadhani kama umemuelewa chief alikua anaongelea ki game kwenye perspective ya kuweza ku bypass mitego ya kutolipia.. Kwamba aliyekitengeneza hakuweka mitego migumu...... Ila kwa level zetu huyu jamaa anajua sana aiseee akikupiga dongo usisikitike kajipange ujue zaidi lichukulie kama changamoto.... . kukataa changamoto ndiko kulikotufikisha hapa kama watanzania ukiambiwa hujui unafura badala ya kumuuliza aliyekuambia hujui kwamba sijui nini..... Kuna watu juzi wametaka kutoboa screen baada ya kuambiwa bado bwana wadogo kwenye mambo ya grafix wanakuja juuu kama hujui kukubali hujui ni hatua ya mwanzo kuelekea kujua.........
NB: hii haina uhusiano na post niliyocopy ni kwa wote ambao tunasoma tusichukie tukipigwa madongo ndio kujifunza..... Wala hata tusinung'unike chukua kama changamoto na fanyia kazi ukijua hiyo kesho utapigwa lingine utaongeza kingine
Nisaidie jinsi ya ku crack hili game kwa kutumia game guardian
Chief-Mkwawa mkuu unaita kigame! Haya bwana
Ndyp jepesi ila kwangu gumu naitaji kununua wachezaji.. naitaji kununua uwanja.. naitaji kununua wachezaji wenye kiwango.. ni vitu vingi sana nataka nifanye... money ndo kila kitu mkuu Will ze great
Mm naona baadhi ya game ukizichakachua mzuka wa kulicheza unapungua.
hili bila kuchakachua linaboa maana usipo upgrade uwannja haupandi daraja (sijui wameitolea wapi hii sheria), hivyo unakuta mapato ya msimu yanapotelea kwenye ujenzi wa kiwanja unashindwa kusajili watu wa maana.
ukishinda ligi kuu wanaanza kukuletea timu classic hivyo hata kama umecheat still game linakuwa competitive
Sure.
Mm mwenyewe nilikomaa sana nikanunua viwanja vyote, na nilikuwa na wachezaji classic one day simu ilileta mapicha picha nika ifanyia hardreset so ndio nimeanza upyaaaa nipo kiwanja kinacho toa 4 coins.
Naamini nitafika tu maana goli ninazo watandika jamaa ni 8 kuendelea.
Nikimiss sana kufungwa magoli na cheza pes 2013. Natandikwa magoli natulia.
Mkuu mbona game jepesi tu bila kuchakachua nimeanza week tu now nipo ligi kuu
Chief mkwawa huyu jamaa aliyetengenezea hili game la DSL ametoa game nyingine inaitwa first touch soccer 2015 lipo playstore ni zuri sana ila game modes nyingi hazifunguki mpaka uwe na coin nyingi mfano ili uweze kucheza ligi yoyote unayopenda mpk uwe na coins zaidi ya 4000 kitu ambacho ni impossible kabisa kwani sehemu pekee ya kupata hizo coins ni kwenye manager mode ambapo ukishinda unapewa coins 7 sasa huwezi zikusanya mpk zifikie 4000 kwani matumizi ni mengi kuanzia kumlipa kocha,kujenga uwanja..ka kuna uwezekano ungenifundisha jinsi ya kuhack hili game ili nipate coins nyingi