Kweli kabisa japo na mapungufu yake yote ukiweka kwenye mzani mmoja Dream na magemu mengine DLS ina uzito mkubwa na wenyewe wametengeneza special kwa simu ndiyo maana ipo simple . Nawapa kongole waliotengeneza wakiendelea kujiimarisha watazidi kutawala kwenye upande kwenye gemu.