Points zikiwa Sawa bingwa anapatikana kwa nini ?Tumecheza mechi mbili kila mtu kashinda mmoja haya magoli Je ?
Halafu kumbuka tokea tuanze kucheza umenizidi siku mmoja siku ya kwanza tu siku zilizobaki nikichapo au sare na hivyo kitakwimu mimi bando bingwa wako na wewe ni kiande wangu 😂😂😆😆
1.Naongoza kukufunga mechi nyingi
2.Magoli kwa ujumla
3.Ushindi wa kapa mkubwa zaidi.
4.Wewe umenizidi siku mmoja tu ambayo ulikimbia siku zote kichapo au sare
Nb: Haya Weka historia yako dhidi yangu kama zitavuka mbili 😂😂😆
1.Naongoza kukufunga mechi nyingi
2.Magoli kwa ujumla
3.Ushindi wa kapa mkubwa zaidi.
4.Wewe umenizidi siku mmoja tu ambayo ulikimbia siku zote kichapo au sare
Nb: Haya Weka historia yako dhidi yangu kama zitavuka mbili