Toka mwaka huu uanze sijawahi kucheka kama leo hii mechi na @Frustation hii wakati nacheza jinsi mtu anavyokula kichapo nikukumbuka ametoka kumuambia
Nkulu wa nchito mbovu kupitiliza baada kumpa dozi nimecheka mno huku mechi inaendelea tena kwa sauti kubwa kama mwehu nusu nivunje simu na nikafikia hatua ya kucheka mpk kulala chini alivyoQUIT na kukimbia hapa nilipo tumbo linauma aisee !!
View attachment 2325540View attachment 2325541Halafu nado hakomi namshauri kila siku acheze gemu la Sokoban au hata magari.