Mrejesho @Frustation nimecheka nae gemu mbili matokeo hayo chini na siku yeyote alinifunga nabadili jina la ID niitwe Paka humu au Nyau shahid Moderator na wadau humu
Hii kajitahidi ona Ontarget 8 si mtu alikuwa anapigwa wiki huyu 😂😂😂😆
Kupewa nakoz kila siku ni hatari kwa Afya huoni mwenzio Fene nimempa kichapo mechi za kulipa kisasi kasogeza mbele ameona kujioverdose vichapo ni hatari kwa Afya yake 😂😂😂😆
Mrejesho @Frustation nimecheka nae gemu mbili matokeo hayo chini na siku yeyote alinifunga nabadili jina la ID niitwe Paka humu au Nyau shahid Moderator na wadau humu View attachment 2325479
Hii kajitahidi ona Ontarget 8 si mtu alikuwa anapigwa wiki huyu
Jamaa halafu bado ana matumaini ya kunifunga wakati navizia nishinde events nipate makocha wa kuongeza nguvu ya kikosi sasa kitakua moto kwa vichapo zaidi ya sasa kilivyo
Kupewa nakoz kila siku ni hatari kwa Afya huoni mwenzio Fene nimempa kichapo mechi za kulipa kisasi kasogeza mbele ameona kujioverdose vichapo ni hatari kwa Afya yake
jaman kwann tusifungue group hata la telegram humu tunapishana sana dream league online tamu sana hasa network ikiwa poa kama vp mmoja afungue then ashare link tujoin