Duh! kweli wewe kiyande yaani unaleta hivyo screenshot ya zamani sana hadi jina Hilo la timu nimeshalisahaua hata hivyo hiyo screenshot haina uhalali coz sio mpya na wewe nimewahi kukupa kipigo kama hiko.