Mechi uliyoshinda moja goli goli la penati la mchongo na kipa kukupa mpira ndio yaliyokufanya ushinde ,mechi ya kwanza niliQuit sababu ulicheza mchezo mchafu kumvunja beki langu dk za mwanzo mapema ya pili nilipata dharura ikawa kucheza ngumu.
Wewe hamna kitu kama hauniogopi baadae tucheze haupati hata ushindi.