DRC: Wapiganaji wavamia gereza na kuwaachia huru wafungwa 900

Zurie

JF-Expert Member
Jul 6, 2014
1,444
2,000
Wapiganaji walioshindwa kufahamika wakiwa na silaha za moto wavamia gereza na kuwaachia wafungwa takribani 900.

Katika uvamizi huo watu 11 wameuawa wakiwemo walinzi wa gereza hilo takribani 8.

Ni mwezi uliopita tu ambapo tukio kama hilo lilitokea na wafungwa 4000 kutoroka jijini Kinshasa.

========

Eleven people were killed when militants attacked a prison in the Democratic Republic of Congo and freed more than 900 inmates, officials say.

The governor of North Kivu province said the attackers had used heavy weapons in the raid on the jail in Beni.

At least eight of the dead are prison guards, Julien Paluku added. A curfew has been declared.

The identity of the attackers is not yet clear.

Local activist Teddy Kataliko said many self-defence militias, known as Mai-Mai groups, operated around Beni.

DR Congo has been in crisis since President Joseph Kabila refused to step down after his term ended last year.

The incident in Beni is the latest in a series of jailbreaks in the country.

Last month about 4,000 inmates escaped from a high security prison in the capital Kinshasa following an attack blamed on a separatist sect.

Source: BBC
 
Bukyanagandi

JF-Expert Member
Jun 24, 2009
8,834
2,000
Binafsi nachukulia operation hizi zinafanya na wanajeshi Professional siyo Mai Mai - siwezi kushangaa kama M7 na PK wako involved katika hili, wanataka jamaa/ndugu yao Kabira apate kisingizio cha kutangaza hali ya hatari itakayo mfanya aharishe chaguzi za Urais indefinitely ili aendelee kukabi madarakani - watu hawa ni hatari sana kwende kanda yetu. Mimi nashauri jeshi letu liondolewe huko Congo DRC hakauna haja ya kuhatarisha maisha yao kwenye masuala ya kijinga.
 
Gne gner

JF-Expert Member
Nov 24, 2016
504
500
Wapiganaji walioshindwa kufahamika wakiwa na silaha za moto wavamia gereza na kuwaachia wafungwa takribani 900.

Katika uvamizi huo watu 11 wameuawa wakiwemo walinzi wa gereza hilo takribani 8.

Ni mwezi uliopita tu ambapo tukio kama hilo lilitokea na wafungwa 4000 kutoroka jijini Kinshasa.

========

Eleven people were killed when militants attacked a prison in the Democratic Republic of Congo and freed more than 900 inmates, officials say.

The governor of North Kivu province said the attackers had used heavy weapons in the raid on the jail in Beni.

At least eight of the dead are prison guards, Julien Paluku added. A curfew has been declared.

The identity of the attackers is not yet clear.

Local activist Teddy Kataliko said many self-defence militias, known as Mai-Mai groups, operated around Beni.

DR Congo has been in crisis since President Joseph Kabila refused to step down after his term ended last year.

The incident in Beni is the latest in a series of jailbreaks in the country.

Last month about 4,000 inmates escaped from a high security prison in the capital Kinshasa following an attack blamed on a separatist sect.

Source: BBC
Safi sana mi nimependa hiyo maana kuna wengine unakuta walifugwa bila hatia,,,
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom