DRC na maajabu yake

DRC na maajabu yake

MBOKA NA NGAI

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2025
Posts
496
Reaction score
768
Hivi, raia kama hawa, wanahusikaje kwenye siasa? Inakuwaje wanastahili kifo cha fedheha kiasi hiki! Kwa sababu tu wanaitwa watutsi!
 
Attachments

  • The EU's isolation in DRC's peace process is due to their biased MPs. Their part.mp4
    7.2 MB
Dah sijui ishu ni nini ila hii ni levo ya mwisho ya ukatili alonao binadamu
Hivi vitu vipo toka miaka isiyopungua 30 mkuu! Na hivi ni vichache tu. Nyingine watu wanachomwa na wanaliwa viungo vya mwili.
Haya. kwa mtindo huu, ulimwengu mzima ukae kimya, na wenye ndugu na marafiki wanaofanyiwa unyama huu, wanyamaze? Serikali na jumuia ya kimataifa, zimeshindwa. ndo maana kila mmoja anafanya anachojisikia
 
Unajua hapo nashindwa kuelewa mbaya ni tshekedi au hao wananchi wa congo maana hapo sioni askari wa congo
 
Haya yote yanatokana na uongozi mkuu.

Tshisekedi aliingia kwenye shimo lililochimbwa na watangulizi wake. Mbaya zaidi, aliingia kwa tiketi ya heshima ya baba yake, Etienne Tshisekedi. Rais wa sasa, hana experience na exposure ya siasa wala ya jeshi.

Mikataba ya siri ya viongozi wa Congo, ndo iliyopelekea haya yote.

Miaka ya 1997 kama sikosei, mkuu wa majeshi wa Rwanda, alikuwa ndo mkuu wa majeshi ya Congo. Hili halikuja hivi hivi, hakika kuna mikataba mizito.
Je, siku zote ukiingia mikataba na anaekuzidi nguvu na maarifa, ndo huwa chanzo cha haya.

Hayo yalichangia kuanzisha makundi ya kigaidi na kikabila nchini humo. Mpe siraha raia wa kawaida, mpe hela kidogo, we muagize kuvuruga amani.

Wanasiasa wa zamani wa Rwanda, wana nguvu sana DRC toka enzi hizo. Hao ni wahutu. Mtu kuwa mrefu, kuwa na pua ndefu, otomatikali inamfanya awe mtutsi, hata asipokuwa raia. Mtoto asiejua historia yoyote, mwambie mtu wa hivi na hivi ni adui. Atahakikisha anamsaka na kummaliza.

Wanajeshi, ni level nyingine. Wanajihusisha na ujambazi na uporaji. Maduka, watu wenye uwezo, hayo ya ukabila na vitu vidogo vidogo kama hivyo, ni vya watu wa chini kabisa.
 
Suluhisho ni nchi igawanywe zipatikane nchi huru nne
 
Kisa kama hiki na vingine vingi sana kama hivi ndivyo vilipelekea kuibuka kwa M23, Hao watoto wanao fanyiwa unyama huo na Raia wenzao huku Serikali ikiangalia kosa lao ni kuwa walizaliwa wakiwa Watusi ndani ya DRC.
 
Hivi, raia kama hawa, wanahusikaje kwenye siasa? Inakuwaje wanastahili kifo cha fedheha kiasi hiki! Kwa sababu tu wanaitwa watutsi!
Kwann tunapenda kudandia mamb nusu nusu , hv kwann tunapenda kujudge vibaya bila kujua mtendewa alitenda nin

Hv siku bi Ushungi akija kweny mikono ya watu unahis watamchekea

Tuache kudandia mamb katikati na kutoa hukumu

Hao watutsi nmeona matendo yao mabovu zaid
 
Unakata moto unajiona, siasa za Africa jau sana.
Tenda haki ili nawe utendewe haki mf ss hv watu wanapigia makofi watekaji , kesho kijiti kikihama unategemea nin ?

Watutsi wali enjoy sn enz za Kabila jr na waliunga mkono kila aina ya uovu wa Kabila Jr
 
Usisahu waliishi kwa amani ndan ya DRC mpk Kagame na M7 walipovamia DRC na kuifanya hv ilivyo

Hakuna mwanadam mkatili pasipo kuwa na makovu ya majera yaliyosababishw na hao anawafanyia ukatil

Kwetu hapa watu w visiwan ipo siku watajuta maana bi Ushung anapanda chuki
Kisa kama hiki na vingine vingi sana kama hivi ndivyo vilipelekea kuibuka kwa M23, Hao watoto wanao fanyiwa unyama huo na Raia wenzao huku Serikali ikiangalia kosa lao ni kuwa walizaliwa wakiwa Watusi ndani ya DRC.
 
Watutsi ndo chanzo cha haya yote , wanapenda uspecial na wao huchochea migawanyiko ktk jamii

Mkolon aliwapumbaza sn watutsi
Haya yote yanatokana na uongozi mkuu.

Tshisekedi aliingia kwenye shimo lililochimbwa na watangulizi wake. Mbaya zaidi, aliingia kwa tiketi ya heshima ya baba yake, Etienne Tshisekedi. Rais wa sasa, hana experience na exposure ya siasa wala ya jeshi.

Mikataba ya siri ya viongozi wa Congo, ndo iliyopelekea haya yote.

Miaka ya 1997 kama sikosei, mkuu wa majeshi wa Rwanda, alikuwa ndo mkuu wa majeshi ya Congo. Hili halikuja hivi hivi, hakika kuna mikataba mizito.
Je, siku zote ukiingia mikataba na anaekuzidi nguvu na maarifa, ndo huwa chanzo cha haya.

Hayo yalichangia kuanzisha makundi ya kigaidi na kikabila nchini humo. Mpe siraha raia wa kawaida, mpe hela kidogo, we muagize kuvuruga amani.

Wanasiasa wa zamani wa Rwanda, wana nguvu sana DRC toka enzi hizo. Hao ni wahutu. Mtu kuwa mrefu, kuwa na pua ndefu, otomatikali inamfanya awe mtutsi, hata asipokuwa raia. Mtoto asiejua historia yoyote, mwambie mtu wa hivi na hivi ni adui. Atahakikisha anamsaka na kummaliza.

Wanajeshi, ni level nyingine. Wanajihusisha na ujambazi na uporaji. Maduka, watu wenye uwezo, hayo ya ukabila na vitu vidogo vidogo kama hivyo, ni vya watu wa chini kabisa.
 
Propaganda za Watutsi hizi. Hakuna watu makatiri na roho mbaya kama Watutsi kwenye ukanda wetu hu, walianzisha vita Rwanda na Burundi na ikaonekana kama ni Wahutu ndio wauaji, while master mind mwenyewe alikua zake Uganda na sasa kakalia kiti cha ufalme. Hi video lazima imeachiliwa na watu wake ili kutafuta sympathy ya dunia na lazima kuna kitu anakitafuta. Burundi waanze kujiandaa. Tupo hapa
 
Back
Top Bottom