Habari!
Naomba kuuliza jinsi ya kuchora trendlines kwa kutumia Smartphone.
Asante.
Sent using Jamii Forums mobile app
nenda youtube unauliza vitu rahisi ivo
Nakubali! Unatoa jibu alafu unamalizia na shitnenda youtube unauliza vitu rahisi ivo
Hahah dah kweli ni rahisi aisee kuanzia sasa napunguza miezi ya kufanya demo kutoka miezi minne hadi mitatu namaanisha mwezi wa kumi natrade live.nenda youtube unauliza vitu rahisi ivo
HongeraHahah dah kweli ni rahisi aisee kuanzia sasa napunguza miezi ya kufanya demo kutoka miezi minne hadi mitatu namaanisha mwezi wa kumi natrade live.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera maana wengine ndo mabeginner but after three months ntakua trader
kuchora tu ni simple ila kikubwa ni kujua wew ni trader wa aina gani countertrend au trendfollower ukijua wewe ni nani basi utajua unaangalia kitu gani ktk izo trend line zako ukiwa katikati katu hutokaa ufanikiwe zaidi utakua choped kaa upande mmoja angalia confluence zinazokuhusu kama ni hammer misumari yote utaijua hapo ktt trendline yako
Karibu mkuu.Hongera maana wengine ndo mabeginner but after three months ntakua trader
Sent using Jamii Forums mobile app