Hiyo sio Klabu Bingwa ie CAF championship, hata kama Simba haipo ni sawa tu maana ni level ndogo. Ni sawa na BM kuchujwa kwenye level ya urais kisha kutokuwa mbunge pia, hawezi kuwa mnyonge kwa kuwa Kibajaj ni mbunge.