Kama nimeelewa hiviHakuna ngoma naikubali ya Kendric kama ALRIGHT -
When our pride was low
Lookin' at the world like, "Where do we go, nigga?"
And we hate po-po
Wanna kill us dead in the street for sure, nigga
I'm at the preacher's door
My knees gettin' weak and my gun might blow
Drake - Started from the bottom , **** fake friend where re my real friends at
Hotline bling - huu nauimba wote kama ulivyo
nilichogundua Kendric anaimba hiphop ngumu mtu inabidi utulie uelewe, Drake anaimba vitu vyepesi music unaotrend ambavyo kila mtu anaskiza siku moja kashakariri mistari yote na hiki ndio kinampa ukubwa na wimbo una break thru everywhere.
Mkali wa hiphop atakua kendric , Fame ya watu wote anayo Drake
Ni kweli unaipenda aisee, ni mara ya pili naona unaizungumzia.Hakuna ngoma naikubali ya Kendric kama ALRIGHT -
When our pride was low
Lookin' at the world like, "Where do we go, nigga?"
And we hate po-po
Wanna kill us dead in the street for sure, nigga
I'm at the preacher's door
My knees gettin' weak and my gun might blow
Drake - Started from the bottom , **** fake friend where re my real friends at
Hotline bling - huu nauimba wote kama ulivyo
nilichogundua Kendric anaimba hiphop ngumu mtu inabidi utulie uelewe, Drake anaimba vitu vyepesi music unaotrend ambavyo kila mtu anaskiza siku moja kashakariri mistari yote na hiki ndio kinampa ukubwa na wimbo una break thru everywhere.
Mkali wa hiphop atakua kendric , Fame ya watu wote anayo Drake
Ni kweli unaipenda aisee, ni mara ya pili naona unaizungumzia.
Mwamba anajua, ndo msanii wa kwanza wa hip hop mimi kuwa na album zake zote.[emoji23][emoji23]sana
Mara ya mwisho ni lini kukisika naona zzzzzzzzMwamba anajua, ndo msanii wa kwanza wa hip hop mimi kuwa na album zake zote.
Na hapa bado tunalalamika ataachia nyingine lini maana amekuwa kimya sana.
😂😂
Yea sijamsikia mdaa.Mwamba anajua, ndo msanii wa kwanza wa hip hop mimi kuwa na album zake zote.
Na hapa bado tunalalamika ataachia nyingine lini maana amekuwa kimya sana.
[emoji23][emoji23]
Skiliza These walls,All the stars,Bitch don't kill ma vibe,
Album yake ya mwisho (DAMN) ilitoka 2017 Nasikiasikia kuwa kwa sasa anafanyia kazi album yake mpya japo ni tetesi, mwenyewe hajazungumza chochote.Mara ya mwisho ni lini kukisika naona zzzzzzzz
Itakuwa yupo chimbo anaandaa mzigo😀Yea sijamsikia mdaa.
Itakuwa yupo chimbo anaandaa mzigo[emoji3]
Hv n kweli bidhaa isiyo na ubora inaweza uzika kuliko ile yenye ubora...?
inshort naona kendrik ni bora ila Drake ni zaidi
CEO wa TDE ameconfirm, new album coming soonAlbum yake ya mwisho (DAMN) ilitoka 2017 Nasikiasikia kuwa kwa sasa anafanyia kazi album yake mpya japo ni tetesi, mwenyewe hajazungumza chochote.
Sio poa aise ila ngoja tusikilizie.Na kuandaa Album sio mchezo..
na huu upepo wa korona
Basi ngoja tuendelee kuisubiri maana tulikuwa tunajiuliza kwani ni nini kinaendelea.CEO wa TDE ameconfirm, new album coming soon
Can't wait this Modafakin AlbumCEO wa TDE ameconfirm, new album coming soon