Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Msomali anakuja Sana manyanya pale hata mechi na Sisco hawez omba Wala kupangiwa..sio uzani wake,,...huyo anahangaishana na kina Ally white wachezaji uzani flani wa katkat ao wa mabaoHuyo Sisco hawezi kushindikana Tanzania nzima kwasababu hajacheza na wacheza draft wote
Nimeangalia draft na kucheza sana ila kuna Dogo mmoja msomali yupo Arusha sijawahi kuona akifungwa na nina uhakika huyo Sisco hamsogelei. Huyo jamaa nahisi ndio mchawi wa draft
Iko live wapi???
Humjui Sisco wewe,Huyo unayemtaja pale manyanya anapewa Sare 3 azuieHuyo Sisco hawezi kushindikana Tanzania nzima kwasababu hajacheza na wacheza draft wote
Nimeangalia draft na kucheza sana ila kuna Dogo mmoja msomali yupo Arusha sijawahi kuona akifungwa na nina uhakika huyo Sisco hamsogelei. Huyo jamaa nahisi ndio mchawi wa draft
Naingia online naona mapicha pichaMKULIMA anashambuliwa sana
Ingia kama GUESTNaingia online naona mapicha picha
Game naionaje?
Sina account
Manyanya ndio wanapaita draft collegeMsomali anakuja Sana manyanya pale hata mechi na Sisco hawez omba Wala kupangiwa..sio uzani wake,,...huyo anahangaishana na kina Ally white wachezaji uzani flani wa katkat ao wa mabao
Username zao zinaitwaje?MKULIMA anashambuliwa sana
haya mashindano wanaweka muda mbaya, saa 5 za usiku watu macho yanakuwa mazitoSughuli ilikuwa pevu!
Wamefungana ngapi ngapi hao maturaSughuli ilikuwa pevu!
We utakuwa labda unamsemea Msomali mwingine feki na sio huyoMsomali anakuja Sana manyanya pale hata mechi na Sisco hawez omba Wala kupangiwa..sio uzani wake,,...huyo anahangaishana na kina Ally white wachezaji uzani flani wa katkat ao wa mabao
Mkulima kashinda 2:0Wamefungana ngapi ngapi hao matura